yaarabby kwa baraka zako na kwa baraka za mwez mtukufu wa rmdhan mponyee mjaa huyu mpee shifaa yarabby 🤲
2026-03-05 19:18:42
126
mrs Ajay :
allah akupe shifaa kiongoz maridhawa🥰
2026-03-05 14:54:20
22
Hamina saidi :
ewe mwenywenzimungu mponyeshe kijana huyu arudi katika wakati wake naumia sanaa
2026-07-28 20:16:04
1
mamy muu🥰🥰 :
inaitwaje
2026-03-06 02:08:37
8
leymama@#🇹🇿♥️♥️ :
Lailahailalaaa uuwwiiii jamani kipenzi changu nilikuwa sijui kama wewe ndio unaungwa yaaarrabbiy ya rabbiyy mponye ndugu yetu kwa njia zako na kupitia majina yako 99🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭
2026-07-28 16:54:43
4
thapkirii❤️🥰🥰 :
kwa uwezo wa mungu utapona amiiin🤲🤲🥹🥹
2026-08-01 13:05:07
1
b. aisha :
mungu atakufanyia wepes inshallah
2026-07-28 15:43:26
1
Rukayya.....🌺🌺Rukiya💕 :
Ally Ismail hodari jmn kwa kasida mashallah
2026-03-06 06:05:03
5
Amijey Mpemba :
allah akufanyie wepesi kakaangu alla atakusimamia utakua kwenyehali yako yazamani