@stunninglula: Let’s talk about Tahajjud @Best Muslim outfit in Tanzania #RamadhanResetNaSuaad #ramadhanseries2026 #fypシ゚ #motivation #muslimtiktok

Suaad Seif ❤️
Suaad Seif ❤️
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 March 2026 07:31:04 GMT
698926
60737
1590
6452

Music

Download

Comments

navy..02
NAVY🦋 :
Yaan hii ni kweli ndani ya wiki ya kwanza ya Ramadhan niliswali sa10 kila siku and now I see results Allahu akbar 🥰
2026-03-05 10:56:35
766
bozmanboy
bozman🇹🇿 :
mimi nmejibiwa ndani ya sekunde zisizo zidi 5.. Alfajir ya March5 ctoisahau maishani Wallah
2026-03-05 17:10:46
374
shaimermomie
Shaimer Momie :
je kama uko period unaweza kuamka na ukakaa kitako ukamuomba mahitajio yako?
2026-03-05 13:52:25
109
kulfy.mjeshi.21
kulfy mjeshi 21 :
naomba dua aliosoma nabii ayubu
2026-03-05 10:37:01
12
zoux092
Ummuzulekha :
shukran habibty naimani nam nitajibiwa mama yangu ataimarika kiafya na atainuka tena😌😌
2026-03-06 06:44:08
77
carixha
carina mashioneq :
kweny swala za faradh kweny sijda huwez kumuomba Allah kwa kiswahil?😳
2026-03-05 09:14:04
22
manufaa.online.tv
MANUFAA online TV :
Wallah'hi kuzungumza na ALLAH Kuna Raha yake Alhamdulillah, tujitahidini kuitumia hii fursa Adwiimu. 🥰
2026-03-05 15:32:29
49
missyanna_01
MISS ~YANNA👸 ♒️ :
Naomba kuuliza swali swala ya tahhajud mda wake ni upi ?? Baadhi wanasema inaanza saa nane je mpka saa ngap???
2026-03-05 10:28:47
20
zullie0514
real zunie🦋 ❤ :
unaweza kuomba dua kwa kiswahil kwe sijda
2026-03-05 08:03:26
35
naima.issa5
User :
Na je app kwe sijda unaweza kusema kwa kiswahili
2026-03-05 07:47:42
9
kipara18
kipara :
Funika sura yako wewe ni mwanamke wa Kislaam
2026-03-08 07:40:45
7
dully130
Sidarth❤ :
Mm huwa naamka saa nane mpka saa tisa? vpi hii time iko sawa ama ?
2026-03-05 17:31:10
26
bint.sulley
GN-STORE :
mm naamka saa 9 naswali tahajud halaf nakula daku je nipo sahihi.
2026-03-05 10:35:24
7
fatimaiddy545
Fatima Iddy :
mungu anajibu wallah ukiwa na yakin wallah allah akuaji tujipendekeze kwake
2026-03-05 07:47:33
50
gee_cosmetics00
GEE COSMETICS :
Je tahajjud ni Rakaa 2 tu ama unaweza swali zaidi ya rakhaa 2
2026-03-05 14:53:30
7
shaamamiy64
Shaa mamiy :
mashallah barakallah mm naomba mpaka nachoka naona gizaa t wala sioni mwanga
2026-03-05 11:35:04
11
princenssih
princenssih :
nani anielekeze kuswali Ile lakaaa 8 alafu unamalizia nazile 3 witli wafanyaje
2026-03-05 14:00:48
10
lailamajoba01
Leylah💎 :
Ila tukiomba kwa lugha yetu tunaomba kwa dhati kuliko kwa kiarabu wengi tumekikalili tu
2026-03-05 11:32:19
14
mwana.idi39
It's me❤️ :
Ni kwel wallah Allah yup krb na sis kuliko tunavyozan
2026-03-05 14:13:41
9
mohammed_kadar
🪫 :
madam ni sawa unavosema Allah kasema “Niombeni nitakujibuni” lkn hapo kwenye kuomba du’a kwa kiswahili ndani ya swala hakuna quran wala hadithi iliosema ivo kwenye swala iwe ya Sunna au iwe ya faradhi lugha ni moja tu iliochaguliwa ni ARABIC ikiwa huwez wanazuoni wametow alternative way baada ya kumaliza kuswali basi sujudu tena uombe du’a kwa lugha yako lkn km ulivokuw huwez kuisoma Quran kwa kiswahili ndani ya swala bc pia haitakiwi na unawez kuiharibu swala yko km utakuw unatumia lugha nyengn badała ya kiarabu..wallahu ya’alam ❤️
2026-03-05 09:44:52
132
abuikhsan002
Fady Ngura :
Nawaapia ndugu, mimi nimejibiwa ndani ya masaa matatu. WALLAHI WABILLAH.
2026-03-05 12:29:34
5
fettymah257
I'm fays@d🤍✨️ :
jmn me nnaushuhuda ya hii swala ya tahajjud wallah ctokuja kusahau jmn miujuza aliyonitendea Allah (s.w)
2026-03-06 18:29:16
7
zainab.zainab1381
Zaynab said :
siku mungu akininibu hilo ombi langu lazima nitengeneze video fupiii wallah
2026-03-05 12:21:50
10
saudahriyyami
saudahriyyami :
shukran sis kwa kutuelimisha Allah akulipe kheir ya dunia na akhera .
2026-03-05 17:58:37
6
zuhuraomary303
Zuhura Omary :
Asante kwa ukumbusho Allah akutunze
2026-03-05 07:55:45
23
To see more videos from user @stunninglula, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About