@theyenvy_cauthal21: Alhamdulillah kwa kuwa na watu wanaokukumbusha Allah, wanaokusukuma kufanya mema na kukuinua kiimani. Hii ni neema kubwa ambayo si kila mtu amepewa. 🤍#swahilitiktok #tanzaniantiktok🇹🇿

Cauthal ♡
Cauthal ♡
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 March 2026 09:26:23 GMT
13977
1062
31
5

Music

Download

Comments

naah1948
Naah ♈🧿194 :
ukhit salam aleykum
2026-03-19 06:16:29
1
user9959609795668fote
Mimaah fourty40 :
Ma sha Allah cau cau napata utulvu wa nafc nikiona post zako Ma saha Allah
2026-03-05 10:09:57
4
ahmediali595
mehmeet :
tasbeeh umenunua wap ukhty
2026-05-22 11:01:36
0
halimeer52
Halimeer🌷🌸🍂 :
Video zako Unafanyaje kipenz zinakuwa short
2026-04-17 06:03:44
0
f.e.f.e_09
FEFE❤️🐆 :
Nakupenda cau wangu❤️
2026-03-05 09:28:36
1
baltazar_gabino
GABINO :
Cau cau ety kuna watu wanauliza nguo za kuswalia kama hizo wanapata wapi
2026-03-05 10:35:24
3
dalali.hussein
Dalali hussein :
uko dar sehemu gan jaman nije tupate wote futari
2026-03-08 12:23:10
0
kedhia.joseph
Kedhia😘 :
Cau Cau unakula vizuri bhana😁
2026-03-05 09:59:56
1
smaiyanjiku1
myra01 :
Nakupenda natamani siku tuonane Inshaalah
2026-03-05 15:29:45
0
farris_tz
farris_tz :
mkwe wangu kipenz nikija dodoma nakuja
2026-03-10 20:13:59
0
user239417876
Halima :
MashaAllah 🥰🥰🥰🥰
2026-03-05 19:22:00
0
zuommi19
hammisy19☆🦅 :
me nikakaa nikisubiri magharib iingie
2026-03-05 11:25:03
0
mamourmakeup
Mamour beauty line :
🥰
2026-03-05 12:00:40
0
sarahmsangi2
Sarah♓️❤️ :
🥰🥰
2026-03-05 09:38:55
0
noah_brighton
𝐍𝐨𝐚𝐡 𝐃𝗲 𝐁𝐫𝐢𝐠𝐡𝐭𝐞r :
🤲
2026-03-05 09:51:07
0
kizuathename
KIZUA MAKUKU👉buguruni📍 :
👏👏
2026-03-05 15:01:04
0
hassanhasaan255
️ :
icho unachodekia shingap
2026-03-05 17:47:11
0
cute.baby.girl970
ماما نايمالي🥰🥰🌸🌺عزيزة🇦🇪 :
MashaAllah kipenzi Sorry nimekucheki Dm ukipata Nafsi naomba unijibu
2026-03-06 04:50:40
0
To see more videos from user @theyenvy_cauthal21, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About