@healingwithgreyson837: Sekunde ile sperm inapofanikiwa kuingia ndani ya yai, maisha mapya huanza. Ukuta wa yai hufunga mara moja kuzuia sperm nyingine kuingia. Ndani yake, taarifa za kinasaba za mama na baba huungana na kuunda seli mpya iitwayo zygote. Kuanzia hapo, seli hii huanza kugawanyika na safari ya ukuaji wa mtoto huanza. Huu ndio mwanzo wa maisha ya binadamu#Fertilization #PregnancyEducation #HumanBiology #WomensHealth #FertilityJourney

GREYSON UZAZI & NATURAL WELLNE
GREYSON UZAZI & NATURAL WELLNE
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 March 2026 15:06:56 GMT
9241
72
1
3

Music

Download

Comments

shobahayo1
Shobah Ayoh :
❤️❤️❤️
2026-03-09 17:26:44
1
To see more videos from user @healingwithgreyson837, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About