sitaforget upendo wako Mungu, maana unanipenda kuzidi upeo wangu, umenivusha ng'ambo pia umetegua mitego, mi najua una nguvu, mi najua una nguvu Mungu uuuuh...🥰🙌🏾🙌🏾
2026-03-06 15:17:12
287
DR ♻️ AKICHWALI _🧿NA VIPODOZI :
TALENTED🔥🙏🏻
2026-03-06 20:20:37
70
Njugush Backup🌟 :
Nitakusupport mpaka you make it with your music journey 🥺💪
2026-04-03 17:15:29
6
Mapesa0001 :
🔥🔥mdogo angu me nitapiga makofi tu
2026-03-06 07:46:57
111
Miss Moureen🌹❤ :
Ay ushakuwa maarufu fure🥰🥰
2026-03-06 08:37:49
21
Happy Benjamin :
mfanye remix sasa maana imenoga sana hapo mwanzo
2026-03-12 18:16:53
10
mkufya :
katika harakiri za kubana sauti angalia usijinyee
2026-03-06 19:27:13
6
Madam phina❤❤ :
hv kuna alive sikia akiimba 😂😂mm sjaskia maneno yoyote
2026-03-07 09:29:42
8
@amansilas887 :
jitu la mtumba kaz mpya hongera tajili angu🙃
2026-03-07 13:54:39
9
annie :
nampend joel san unajua
2026-03-19 17:22:41
5
Glory Marwa :
masai anajulikana
2026-03-06 19:39:30
6
it's syjoricah :
umetisha brooo kinomaaaa
2026-04-19 13:22:07
5
Chriss_Hemsworth🥇 :
Ukisikia kipaji hakifosiwi ndo hiki, yaani hii nk natural kipaji, unqjua sana Wajina🔥🔥
2026-03-07 08:56:51
20
Jeremiah Moses :
Yaani kwenye hili nakazia tu kuwa imba kwa ujuzi ambao umejifunza(scales, na ujuzi mwingine), imba kwa viwango vizuri kama hivi na kwasababu unamsifu Mungu msifu kwa ustadi kama huu na maneno ya watu yasikwamishe mwelekeo wako. Safi kaka Frank
2026-03-07 08:32:45
13
Zabron Mussa :
omba colabo hapo
2026-03-06 06:24:42
6
baby G :
jaman unajua ety ongera🥰🥰
2026-03-06 19:03:00
7
🧚♀️lizapretty@505🧚♂️ :
NASISIMUKA🥰🥰🥰🥰🙌🙌🙌🙌
2026-03-06 10:15:32
6
gloriakendi :
mimi stachoka kucoment
he deserves a collabo with joel jamani ☺️