@drhusseyn: 1. Usingizi wa Vitendo (Wa Kawaida), Watoto wachanga hutumia karibu nusu ya usingizi wao katika usingizi wa vitendo. Wanaweza: Kulia ghafla, Kuguna, kulia, kutabasamu, au kuhama na Kusikika kuamka lakini bado wanalala. 2. Usumbufu wa Gesi tumboni, Katika umri huu mfumo wao wa usagaji chakula bado unajifunza. Gesi inaweza kusababisha vilio vya ghafla, haswa usiku. 3. Njaa, Watoto wa mwezi 1 hunyonyeshwa mara nyingi (kila saa 2-3). Kulia usingizini kunaweza kuwa ishara ya Njaa ya mapema. 4. Kushtuka , Wanaweza ghafla kushtuka na kulia kwa sababu mwili wao hushtuka wenyewe. 5. Kuzoea DUNIA Kila kitu ni kipya-sauti, Mwanga, Halijoto-kwa hivyo mfumo wao wa neva bado ujakaa sawa. Unachoweza Kufanya… Subiri sekunde chache (wanaweza kutulia). Kuguna baada ya Kunyonya. Mweke mtoto wima kidogo baada ya kunyonya. Kumfunga kitambaa kunaweza kusaidia kupunguza hali yakushtuka. Piga simu Kwa daktari Wako Ukiona Dalili hizi kwa mtoto:- 1️⃣Homa 2️⃣Kilio mara kwa mara 3️⃣Hali vizuri 4️⃣Kikohozi 5️⃣Mafua 6️⃣Kutapika#usa🇺🇸 #fypシ゚viral🖤tiktok #fouryoupage_tiktok_ #africantiktok #tanzaniantiktok🇹🇿

dkt husseyn
dkt husseyn
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 March 2026 05:44:05 GMT
17694
218
3
24

Music

Download

Comments

issajulias4
issajulias4 :
amiin
2026-04-20 14:10:06
1
tedy2msuya
msuya :
🙏
2026-03-27 14:28:57
1
user481149888733452
mwana :
☺️☺️☺️
2026-04-15 08:36:06
0
To see more videos from user @drhusseyn, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About