@explorewithbertin: Welcome to Tarime town Mara Region Tanzania. This is the home of Chacha, Marwa, Mwita, heche etc. #tanzania #trending #reels #trending #tanzania

Explore with Bertin
Explore with Bertin
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 March 2026 07:53:41 GMT
167586
5201
94
388

Music

Download

Comments

iallando
Notorious :
TARIME WAPI NI MJINI?? UKIWA HAPO TARIME MJINI INAKUA WAPI??
2026-03-06 13:43:24
15
newswave14
NEWS_WAVE :
huyu haijui tarime,,,mbuga ya Serengeti tarime🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-03-07 02:11:51
10
user6243905003974
maombi slvanus :
stend ya tarime inakera bhna
2026-03-06 16:12:42
7
peaceandhope33
Naughtyboy25 :
Watu wa nyamongo wanaangalia wanacheka
2026-03-06 14:04:48
4
user4231602017801
user4231602017801 :
Mh Mbuga ya Serengeti Tarime? Tatigha Mura!
2026-03-06 18:20:21
3
bwesamjinja
Bwesa mjinja :
Tarime na serengeti wapi na wapi, serengeti ni wilaya inayojitegemea mkuu
2026-03-07 07:59:53
7
mm92309
Kwenye One and two :
Tarime my home town. Hakuna tena, sehemu ndogo lakini iliyotoa watu walio serious nchi hii. Sisemi kua wengine sio, ila hii Wilaya imecheleshwa sana na siasa za hovyo. DC pambana, uko sehemu sahihi sana, ukitaka kuongeza delivery sema tukupe idea, huko wanatoka ma genious angalau upafanye napo pawe sehemu potential.
2026-03-06 13:40:44
7
fadhilimramba84
Fadhili Mramba :
Acheni uongo mbona ni ndogo
2026-03-06 17:50:58
1
mwlmcmatrra60
𝐌𝐖𝐋- 𝐌𝐂𝐌𝐀𝐓𝐑𝐑𝐀 :
Mkuu wa Wilaya ni Muhuni Aisee! Mbuga ya Serengeti iko Tarime Mama eeee tena haogopi anasema ipo kwa kiasi kikubwa sana Maanina 😁😁
2026-03-07 04:30:33
0
user5598033368140s
sam :
hakuna mji kukuwa mji inakuwa na bara bara mashimo kama sehem ya kupanda mingoba
2026-03-06 17:48:09
3
gofficial756
G❤️Official :
Kumbe mnalijua Hilo sasa kwanini hakuna stendi kama mnaingiziwa kodi za kutosha hapo
2026-03-08 07:01:14
1
reybeauty02
baby girl 🫦🦋 :
nyie kwani hii tarime ipo wap mbona hii ni nzur hivi kuliko nayo ifaham mimi😅😅😅
2026-03-07 15:52:45
1
chicagodataa
chicago data :
sasa mgod wa barick unasaidia nn kwenye hii wilaya ujinga mtupu
2026-03-06 14:43:16
2
sweetbert.machomb
Sweetbert machomba :
ohĥĥhhooo home apo tujuane tunaotoka Rebu
2026-03-06 13:38:25
2
thehodasalon
The Home of Dadaz salon :
acheni uongo tarime ni ndogo mna pia haikui kwa kasi kwanza tarime haina mjini 🤣😂
2026-03-07 07:30:08
3
daudikibakiba
daudikibakiba :
huyo hajui kitu Serengeti IPO wilaya ya tarime
2026-04-02 07:07:52
0
user255684132622
Joha_pips_tz :
😂😂😂😂🤣 karibu tarime mura ule kichuri
2026-03-06 08:44:42
3
documentingkuria
Mwitadventures🌍 :
home
2026-03-06 19:02:48
1
raymondndong259
Janam :
Hapa ni kama nyumbani. Mimi ni mkenya wa Migori🤣
2026-03-07 10:26:04
1
daxopm01
Iam_Alex :
Mji wetu mzuri sema washenz wanajipigia pesa tu mji mzuri ila barabara mbovu usenge tu 😏
2026-03-06 14:19:23
2
eliyasegere
elly :
Amesahau kilimo cha bangi
2026-03-06 17:35:32
1
mariam.zabron5
Mariam zabron :
Tunao ishi sirari gonga like apa🥰
2026-05-07 22:06:45
0
soloreany2816
soloreany@822 :
my mother land I love Tarime
2026-05-30 02:28:48
0
hr.hawke
Phoenix King :
kasi gan iyo
2026-03-06 13:34:45
0
To see more videos from user @explorewithbertin, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About