@dollyinanacoach: Alhamdulillahi Rabbil ‘Alamin. Ee Allah nakushukuru kwa kuniumba kama binti ninajivunia sana nipe moyo wa upendo, subira na hekima. Ewe Allah nijaalie niwe mfano mwema kwa wadogo zangu na niwe msaada kwa familia yangu. Ikiwa ni kheri kwangu, nijaalie mume mwema na unipe tabia njema ili niwe mke mwema. Na ikiwa utanijalia watoto, nisaidie niwe mama mwema wa kuwalea katika maadili mema na katika njia inayokupendeza. Amina 🤲✨