Wewe imba reggae za dunia umeoa nyanyako alafu uwe role model watu sahau
2026-03-06 16:48:28
86
Ann❤the❤CEO💖 :
kama ngoma za guardian huslap piga like
2026-03-07 18:15:54
238
It's Mukami :
You guys just leave guardian alone aki. This guy is just humble and minds his own business.
Kila mtu abebe mzigo wake. This one never insults anyone aki
2026-03-07 04:19:04
171
Wacheke Charles(Bull) :
wewe ni kijana mzuri shinda ni huyo shosh
2026-03-06 16:38:32
121
PREZZO ❤️037 :
sasa next inua mikono za mtoi wako😂😂😂
2026-03-06 12:58:10
167
Auntie Wa Nairobi 🇰🇪 :
heri ufanyaye video peke yako,mkiwa na shosh unakaa mzee kumliko tena😁😁
2026-03-06 17:53:30
82
Dalliah d⭐ :
Ngoma za Guadian huwa na message always bt na wivu huwezi skia...
2026-03-06 16:32:11
180
Evah Owendi :
hyo kudance ni Kwa mungu kwely 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-03-06 17:06:41
30
Eu Euslah :
haiya sasa nenda break hiyo protocol ya shosh awache matusi
2026-03-06 20:37:57
30
Cess :
bwana ya kinyanye
2026-03-06 18:41:37
14
Ondhao Charles :
nikiona Guardian,namini kwamba uchawi iko, huyo shosho aliroga huyu kijana
2026-03-07 08:19:12
25
Lena Beddings :
Bila wivu the guy sings well
2026-03-06 18:28:07
34
Shiva de ghurl :
Naona kijana yetu atakufa na mayai yote
2026-03-07 10:30:44
20
peris katiwa :
Wale wa 50 kujeni
2026-03-06 13:03:31
7
pacifist Jayne :
kusema tu good song ndio inawashinda...
2026-03-07 12:18:04
6
sal sallyKE :
hata ingekuwa Mimi singeacha huyu hata mseme nini😂😂
umeona vile hiyo kiuno inazungushwa😂😂
2026-03-06 19:39:58
9
Dorcas Ndila :
uko smart sana salimia murembo wetu zimba masikio mungu awahinue sana
2026-03-06 17:24:08
11
hajirah 🥰💘 :
😂😂😂 my mind inaniambia uko hapo Kando na kaschana Rika Yako mnaimba Nako kuliko huyo shosh wako ..but you look good 🥰
2026-03-06 12:27:05
8
Mistrine Anangwe :
Guardian Angel 🔥 kama ni music Doctor wako gonga like
2026-03-07 13:29:48
6
Annita 🤍🤍🤍 :
ukiimba pekeyako iko best😁
2026-03-06 13:17:34
10
monilishiaz :
si mungu akulinde unaongeaga ukweli
2026-03-06 17:32:50
12
❣️Auntie GenZs❣️ :
I wonder badala mfeel the song mnapelekea mwimbaji feelings zenu na yeye ako sawa na mpenzi wake......protocol breaker I worship you🙏🙏🙏nice song guardian 🙏🙏🙏
2026-03-06 18:58:51
7
To see more videos from user @guardianangelglobal, please go to the Tikwm
homepage.