@saa24_digital: Mafuriko makubwa yameharibu mali na miundombinu mbalimbali katika jiji la Nairobi kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha tangia mapema hapo jana. Mpaka sasa haijajulikana ukubwa halisi wa hasara iliyosababishwa na mafuriko hayo ingawa serikali ya Kenya imeripotiwa kuagiza jeshi la Ulinzi, The Kenya Defence Forces (KDF) kusaidia na shughuli za uokoaji katika kipindi hiki cha dharura. Video Credit: nicki bigfish #saa24

Saa 24
Saa 24
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 March 2026 22:59:52 GMT
5020
50
1
7

Music

Download

Comments

elick2639
kizzy 💰 :
kak fungua Chanel whatsapp
2026-04-28 18:26:11
0
To see more videos from user @saa24_digital, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About