jaman mimi nilipewa talaka nilikaa wiki moja nikaambiwa niondoke,😭😭😭😭😭😭😭😭 Acha niishie hapo nina mengi sana moyon yanayoniumiza nimekuwa kama sijazaa,daaah mwenyez mungu atalipa
2026-03-07 11:01:36
46
UNSTOPPABLE HUSTLER 😎🇹🇿🇦🇪 :
sas hapo MTU akiachwa anatakiwa akae ndani miez m tatu inamaan atakua anampikia huyo aliekua mme wake na kumfilia yaan anamaanisha bado MWANAMKE utaendelea kufanya kila kitu???
2026-03-07 15:08:39
6
Sera Roomy :
mi hataki kunipa talaka lakini miyaka 3 atuko pamoja
2026-03-08 12:58:03
5
Mafly :
Nimepitia mengi .Allah Azid kunipa rizk kwa Ajili ya wtt wangu. Nikiandika naweza jaza kitabu .mungu niongoze ktk heri
2026-03-08 03:54:16
11
Mamuu :
kawaida ya makadhi uskiza wanaume sijui ni vile akuna kadhi mwanamke nachoka mie
2026-03-07 18:39:19
12
Mamu Jj :
nmemwomba watoto Eid inshallah nisherekeee nayo,ameninyima watoto