@taarabu_za_zamani: #taarabuzazamani #mwambaowapwani #taarabuchallenge #taarabu #taarabulover❤️🇰🇪🔥

taarabu za zamani
taarabu za zamani
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 March 2026 09:36:49 GMT
532219
19824
219
1901

Music

Download

Comments

ayra168
mimi💕💓❤️ :
je naruhusiwa kulia nkiwa naisikiliza😭😭😭
2026-03-07 20:01:14
169
reen_mitumba
REEN_Mitumba :
Hi nyimbo inaitwaje
2026-03-07 19:02:04
23
mmarekani_mweusy26
mmarekani mweusy26 :
Aliyepost hii anichek ninamengi ya kumwambia 🥹🥹🥹🥹🥹
2026-03-11 17:12:20
10
jamiewafalisfalis
hopelisa :
hii nyimbo inanikumbusha mbali sana pale mtaaa wa nasa tandika aise ule mziki wa heshima tupu daah
2026-03-07 19:44:23
18
mayner435
Drama queen💕👑🦋 :
Sahivi ndo naielewa hii nyimbo😭🙌
2026-03-09 05:48:30
44
najmah.omary
Najmoury collection :
naomben mnifollow🥰 nauza abay
2026-04-29 16:43:07
1
minaahhenna
@minah henna designer :
hii yombo nimeilewa mwaka huu😭😭😭😭
2026-03-07 20:39:20
14
yasinta.samson4
Yasinta Samson :
Naomba niongeze Sauti Kwa faida ya waja😱😅
2026-03-08 11:43:48
6
mslahfat01
Ms.Lahfat :
Yu wapi huyu dadaaa
2026-03-07 21:01:33
5
zombiee435
TRUMP TZ 🇹🇿 👣 :
Sema taarab ni nzur ila mwanaume utazikilizia wapi 😁 duuh
2026-03-08 10:04:33
17
jenifa.ngowi
Jenifa Ngowi :
10/10
2026-03-08 09:19:54
0
bibianayona
Bugatti 369 :
Hii naisave Kwa Matumizi Ya Baadaeee
2026-03-07 20:33:53
16
jumamagaya
jumamagaya :
nimemkumbuka mama yangu hakika dunia siyo makazi 🕊🙏
2026-03-18 01:30:09
6
mamycollins1
pipi 🍭 :
Sijui nan kaniambia niingie TikTok usiku Ona sas 😭
2026-03-07 22:47:41
11
tanzante
🥰🥰 iyemi :
mtu alike comment yangu nijiunge mb hili nidownload
2026-03-29 19:09:01
4
shirry.khanoutfit
Shirry khan outfit :
Hili goma nakumbuk kipndi nipo mtoto nakumbuka mbal sana
2026-03-07 18:08:39
11
kinanakinaynay
faynurdeen :
taarab alikuwa anaipenda marehem mama angu hii😭😭
2026-03-10 06:27:29
6
my.tash3
BHUJU🦋💕💸 :
20.20
2026-03-08 14:06:07
0
miylegacy
ANTYMIY LEGACY_🎀🛍️ :
👌🏻Asema bora fuga mbwa ndani
2026-03-07 20:52:55
2
kidotysalma8
kidotysalma :
Kipindi kile nilikua naimba ila nilikua sielewi maana sasa naijua maana vzr sana subahan aan llah binaadam 😭😭😭
2026-03-31 16:59:46
3
nurusule3
nurusule3 :
acheni tuh 🥺🥺
2026-03-07 20:53:04
3
cute.2583
Cute 25 :
Bora fuga mbwa ndan mwaweza saidiana
2026-03-08 00:55:52
4
user4561251750540
assey :
dada uliona mbali sana
2026-03-08 07:58:01
1
ainekishakaizilege
Liwalo na Liwe :
bonge la jimbo hili🥰
2026-03-07 23:06:47
2
happy.mlay
Happy Mlay :
😭😭😭😭😭😭😭😭ama kweli
2026-03-10 20:06:50
1
To see more videos from user @taarabu_za_zamani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About