@dr.lishe: JINSI BAWASIRI HUCHANGIWA NA KUATHIRIWA NA VIDONDA VYA TUMBO _______________________________________________ 1. Vidonda vya tumbo huongeza mkusanyiko wa presha katika system ya damu ya tumbo na sehemu za njia ya chakula, ambayo inaweza kuathiri mishipa ya karibu na njia ya haja kubwa na kuathiri au kusababisha bawasiri. 2. Vidonda vya tumbo kusababisha matokeo ya kuvimba au uharibifu wa tishu ndani ya utumbo mdogo yanayoweza kuathiri mzunguko wa damu katika mishipa ya maeneo ya ndani ya njia ya haja kubwa hata kupelekea au kuathiri bawasiri na uponaji wake. 3. Vidonda vya tumbo huathiri hata mfumo wa mmengenyo wa chakula na hata kusababisha uchakataji na “digestion” kuwa mbaya hali ambayo hupelekea wagonjwa wa vidonda vya tumbo kupata choo kigumu kama cha mbuzi mara kwa mara na kusababisha bawasiri au kuiathiri bawasiri. 4. Matumizi ya baadhi ya madawa ya vodonda vya tumbo mfano “Anti-peptic drugs” au “Anti-inflammatory” huweza kuathiri bawasiri na kuifanya kuzidi kuwa kubwa zaidi na maumivu. 5. Baadhi ya vidonda vya tumbo vinaweza kusababisha mwitikio wa kinga mwilini(immune response) inayoweza kuathiri mzunguko wa damu, kusababisha wepesi wa kupata bawasiri kwa sababu ya wepesi wa damu kujaa kwa haraka na kwa kasi kwenye mishipa ya maeneo ya haja kubwa. “Immune response means the body’s complex, coordinated defense mechanism against harmful invaders like bacteria, viruses, fungi, and toxins.” Hivyo basi, Vidonda vya tumbo vimekuwa kati ya vyanzo vya bawasiri kwa watu wengi. Ni vyema kuondokana na changamoto zote hizi ili kuitokomeza bawasiri moja kwa moja ikiwa una na vidonda vya tumbo. …✍️Tucheck mapema kuondokana na changamoto yako moja kwa moja kupitia mawasiliano haya hapa👇 📱Tuma ujumbe WhatsApp:0763184499. au ☎️Piga: +255 (0) 763184499. @Bawasiri_solution

DR.LISHE_OFFICIAL
DR.LISHE_OFFICIAL
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 March 2026 09:49:55 GMT
857
7
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @dr.lishe, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About