@paulclementofficial: SAFARI #tiktokTanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪

paulClementofficial
paulClementofficial
Open In TikTok:
Region: MW
Saturday 07 March 2026 10:51:41 GMT
456459
51343
401
1515

Music

Download

Comments

nipexohpatrick25
_appie Patrick @# :
Tukisema kuwa watu ambao Mungu yupo upande wao na hawaachi basi ndo Mimi jamn,maisha yangu ni ushuhuda tosha and am living proof of God's favor ❤️
2026-03-08 11:17:59
138
mwakalinga5
JohnDaughter :
Samahan wimbo unaitwaje mana natafuta sion jaman🫩🙏🏻
2026-03-07 12:03:06
28
estahwilliam
estah.. :
Nyimbo zako huwa zinanifanya niinuke tena hata kam nimekata tamaaa...barikiwa sana mtumishi wa Mungu🙏🏼🙏🏼
2026-03-07 11:04:13
50
chrissmalilo
Chriss Malilo official. :
TUNAOSIKIAGA KAWIMBOO ALAFU TUNADUNDA HATA NJIANI HAPA 🙌☝️☝️☝️☝️
2026-03-07 11:32:46
45
sheilamyonga158
💦sheyla 💞 :
Furaha yangu ni kwasababu yupo na mimi
2026-03-08 03:05:26
11
ezekiel.njoroge88
Prince Ezzy :
I believe God one day atanifikisha mahali umefika. your are my favourite musician
2026-03-07 11:38:51
9
oliva5302
oliva :
kwani kabla yakuandika hizo nyimbo zako unafunga siku ngapi maana nyimbo zko zinanibariki sana👏 Barikiwa sana paul 🙏🙌
2026-03-07 13:59:43
20
90maggie1
Maggie :
This guy is anointed, I can listen to his music from morning to evening
2026-03-07 19:49:25
6
justsmileitsjesuschild
justsmile😃 :
Yuko juuuu ya juu zooteee eeeh🥰🥰🥰🥰 one love bro in Christ
2026-03-07 12:09:24
8
official.mzazi
Official Mzazi :
Mungu yupo upande wangu
2026-03-07 18:14:28
6
lightnuru.martine
lightNuru Martine :
Mungu azidi kukubariki xna tunategemea huduma yako kila xku 🥰🥰🥰
2026-03-07 18:55:09
6
cristarjohn
Cristar John :
sasa hv sim yangu inajaa kwa hzi nyimbo za dini mana zote zipo fire❤️🥰
2026-03-08 19:21:24
5
favourednasonga
favourednasonga :
tuta Fanya collabo siku moja in Jesus name
2026-03-07 19:45:40
15
lulumatawalo
lulumatawalo :
Aliye upande wangu yupo juu ya juu zote aiseeee🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-03-07 12:56:49
5
user7536014108392
africana@104 :
jmn mungu akupe maisha marefu paul
2026-03-09 12:18:22
7
enockbalumetalenc
Enock Mc Balume :
wewe ni mfano waku igwa Paul. je t'aime
2026-03-09 08:34:10
5
user2538221703705
Adorable-Martha😘 :
My best verse "Na kama Bwana akiwa upande wangu--+++aiiiiiweeee" Furaha yangu ni kwa sababu Mungu Yuko upande wangu
2026-03-07 11:31:41
8
tz.mwangi
Tz Mwangi :
huu ujumbe kweli we hupewa na Mungu..injili izidi kusonga mbele..ubarikiwe 🙏🙏
2026-03-08 17:33:40
5
prisca_yonis
prisca :
napend sana nyimbo zako kaka Mungu akubariki zidi na zaid
2026-03-07 18:01:38
6
sabby7719
sabby :
Hii nzuri sana kesho after church kuruka nayo ni lazima sio ombi 🥰
2026-03-07 19:23:34
5
kisimpotalentedbwoy1
kisimpotalentedbwoy :
Daaah! Huyu Jamaa 🙌🙌🙌
2026-03-07 11:14:29
7
mooncute387
mooncute :
barikiwa san
2026-05-20 14:05:19
1
madasa892
@madasa :
nabarikiwa san broooo amen
2026-05-21 14:41:09
1
little.ryne
little ryne❤️🦋 :
My mirror wow🥰
2026-05-20 18:27:13
1
princessever21
Princess ever :
Jamani love you combo
2026-05-19 22:02:17
1
To see more videos from user @paulclementofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About