@frank.lukuna: Amina usiamini majini yapo kama majini unaona kuwa majini yapo basi amini na malaika wapo na kama malaika wapo basi Mungu yupo na kama Mungu yupo basi na shetani yupo na kama shetani yupo basi jihanamu ipo na kama njia namo ipo basi na mbinguni papo swali ni kwamba utakuwa wapi milele