@habworksolution: Jitathmin mapema sana unaweza kushindana na soko la ajira ikiwa cv yako iko hivi...? #HR #jobsearchtipsk #bestcv2025 #cv_and_interview_solutions

Worksolutions LTD
Worksolutions LTD
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 March 2026 17:19:50 GMT
1075560
30705
1704
2636

Music

Download

Comments

jamukaya86
Jamukaya :
Mimi ni HR wa kampuni kubwa tu. Siangalii huwo upuuzi eti sijui CV ineandikwaje. Tena napenda CV kama hizi
2026-03-08 04:26:06
1545
.customerservicesupport
Customer Service Support :
nafuraha kubwa kukuambia nimepata kazi na Cv io io ipo ivoivo😂😂😂
2026-03-07 18:13:33
1062
brayanmrema618
BrayNex Ltd :
Mimi ni HR na ukiniletea CV tofuati na uliyoichana ndo nitaichana sasa😂
2026-03-09 07:53:18
515
masese_07
Masese :
Hr mwenyewe ana CV ya hivyo 😅
2026-03-07 19:53:49
305
greezyofficial
Greezy official :
mimi ni hr naita sana watu wa hivi kwenye intavyuu wewe unakatisha watu tamaa ni kuma
2026-03-08 04:36:26
143
atupelenicholas
atupelenicholas :
very true- wasting of time- I am consultant and when I receive CV like that natupa tu kwenye trash bin!!
2026-03-08 17:02:29
9
tikoujenzi
TikoUjenzi :
Personally nimepata kazi na CV ya hivohivo, na wengine nimewapa hiohio na wamepata kazi😂😂😂. pumbavu zako
2026-03-08 04:59:42
253
madame_ceo_
MADAME STORE :
Nipende kukwambia cv yangu haikuchanwa😂😂
2026-03-08 07:16:56
161
janniestore2
SJ STORE✨🌸 :
Mimi ni HR NA CV yangu ipo hivyohvyo, tupunguze ujuaji bhna.. kila kitu ni bahati tu
2026-03-09 13:38:45
38
dr.jumjang
Dr.Juma :
mm nmepata kaz na cv hio hioo😂 kupata kaz ni mipango ya Mungu bn
2026-04-21 05:53:32
10
samksam6
Mr ksam :
Kwahio point ni kusaidia au point ni hela
2026-03-08 06:44:29
35
michaelmj04
MJ21 :
Tusiwaamini watu wanene😂😂
2026-03-08 10:01:01
16
shekuekachombolifficiall
shekuekachombolifficiall :
Vijana hatuna ndoto saiz tunachotaka ni nyoka tu usituchanganye😂😂
2026-03-08 08:17:30
58
simracingx
Rally Addict :
Yan ajira ikiwa yako hata cv hawahitaji😂
2026-03-08 11:09:21
58
shortcak_.e
shortcake :
acha uongo bhana wewe
2026-03-08 10:16:11
5
cabayee45
Cabaye45👊🏿✊🏿 :
😂😂😂 Sawa Mungu
2026-03-08 03:47:45
6
ibrahimmistaazam
ibrahimmistaazam :
mbona mm nimeajiliwa na CV kama iyo
2026-03-23 05:31:30
5
nenyambara
GABRIEL official :
umeamua kujiajiri kupitia vijana wanaotaka KAZI 😁
2026-03-08 11:33:33
6
24haaboyoo
haaboyoo :
Tapeli mpya mjini
2026-03-08 01:53:52
81
chrissjr555
Chriss🇹🇿 :
kwani sikuizi tunaajiriwa kwa cv???😳😳
2026-03-08 07:27:28
7
kambimariamgmail
[email protected] :
Nimepata kazi na Cv ikiwa hivyo
2026-03-08 05:37:58
19
farrycunani
NOMI'Z :
Washenzi mpo kazini kulaghai watu.
2026-03-08 03:53:01
8
salomedaniel01
Sally🍎 :
kwa cv hyo hyo tumepepea nayo 😂😂 wakat wa Mungu n wakat sahihi
2026-03-08 05:54:47
8
mirrykira
Official _vinna :
Ww Sema tu ni biashara mambo mengi kusema hapati kaz Kwan ww Mungu 🤣🤣
2026-03-08 18:03:56
7
laizerizack
laizerizack :
wee Sema unatangaza biashara bana 🤣🤣🤣🤣 na hatuji tena😂😂😂
2026-03-08 09:18:17
7
To see more videos from user @habworksolution, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About