@jamalmotivator: #ALL TIME BEST SPEECH FROM OUR LATE PRESIDENT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI🇹🇿🇹🇿🇹🇿 magufuli #magufulispeech #magufulikitiktok #creatorsearchinsights
Mimi kama mkenya bado naomboleza baba wa East Africa John Pombe Magufuli. Mungu katunyang’anya kiongozi mwema, mcha Mungu wa kweli.😭😭😭
2026-03-13 05:24:07
36
ndeu mc :
uncle alikuwa zaidi ya sheh hata pastor
2026-03-15 21:51:49
28
Zakayo Elias :
daaah tunakosa lakusema aise🥺
2026-03-10 19:08:00
28
Halima :
mungu Akulaze mahar pema baba🙏🙏🏼🙏
2026-04-29 21:23:59
5
Romy-55 :
always talks fact☺️☺️☺️
2026-04-06 10:27:41
6
CHRIS :
In the coming years ahead after the leadership of Magufuli, I’m not sure if there will be a president like him again, although I wish one would emerge.
2026-03-22 14:09:17
5
🔵 Ismail Care TZ ✔️ :
kama unamkumbuka Legend gonga like apa
2026-05-16 04:58:10
1
Edgard David :
Mze pumuzika kwa Amani 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 yoooooo
2026-05-22 11:52:00
1
rahmagramadhani :
kwakweli jamanii mungu akupumzishe pahala pema babaetu mpendwa weweee🥹🥹🥹🥹🥹
2026-03-17 15:29:44
6
Hanslover official Tz 12@ :
best president among the best presidents in the world 🌎 ever
2026-04-01 21:38:03
4
Mjomba Wallace.. :
Huyu Mwamba ni bora Sana Nina msifia Sana we miss you
2026-03-18 18:31:28
11
bam bam boy :
huyu jamaa alikuwa mbele ya muda mnoo nampenda mnooo magufuli mimi😭😭😭😭😭
2026-03-19 08:07:12
7
John Parsimei :
mungu ndo mutawala 😭😭😭😭😭
2026-03-20 22:04:46
5
Mohammed Kadir :
hayati Jon pombe maguguli Alison ongoing nchi vizuri sana ka Kenya Barbara za sleova🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺
2026-05-22 17:49:42
1
Christian :
asante sana raïs wetu wa afrika mungu aku pokeye,tena na omba mungu aku samehe zambi zako.
2026-03-13 22:05:01
9
Masix 96 :
He was areal Goat🎯
2026-04-05 07:41:49
3
gweno boy :
pumzika kwa aman magufuli
2026-03-25 19:18:18
2
Pierre👑 :
Pumzika kwa amani mzee wetu 😭
2026-04-03 18:18:41
7
antony salehe :
R.I.P
2026-03-18 20:16:13
2
Son ke :
message sent and delivered to kenya as well💯💯
2026-04-12 07:03:05
1
kïbê Kë :
daaah!
2026-03-07 21:36:18
4
mashaka makigo :
tunakoswa la kusema
2026-04-14 12:18:17
1
R. A Hussein :
10/10
2026-03-10 19:22:32
4
dear ex :
mungu akutangulie
2026-03-15 11:59:06
3
Shangai :
sana baba 😭😭😭😭😭😭😭
2026-03-10 18:32:21
4
To see more videos from user @jamalmotivator, please go to the Tikwm
homepage.