@thegoldenleo4: Kama unajijua ulishawahi kumuumiza LEO ♌️ kwa namna yoyote ile akalia Kwaajili yako Aisee nikuambie tu hamjamalizana bado LEO ♌️ siyo watu wa kusamehe na siyo watu wa Kusahau kumbukumbu za maumivu hazifutiki kirahisi kwa Leo ♌️ LEO ♌️ Ana kawaida ya kurudisha kile unachomfanyia Mara 10 zaidi. Ukimpenda atakupenda zaidi ,ukimajali atakujali na atakulinda zaidi ,Ukimdharau Oyaaaa weeee atakudharau mpka ujione haufai mbele za watu ,Ukimuumiza ata hakikisha unalipa kwa maumivu hayo Mara 100 zaidi , LEO ♌️ analinda MOYO wake kuliko kitu chochote kwasababu kila kitu kwenye maisha yake kinategemea Amani ya MOYO .Moyo ukiwa na Amani na furaha basi utaona jinsi gani LEO ♌️ anastawi na kuna wili Ila moyo ukiwa na mashaka ,hofu maumivu ,majeraha I namchukua muda mrefu LEO ♌️ kuendelea na maisha ya kawaida Ndiyo maana Hauwezi kukuta LEO ♌️ anakaa kwenye mahusiano yanayomuumiza ,Hauwezi kukuta LEO ♌️ anakuwa single kwa Muda Mrefu kwasababu LEO ♌️ anatamani kupendwa na kufanywa special Yaan afanywe Malkia au mfalme akikosa hiyo hali hawezi kuvumilia sasa pata picha Uumize MOYO wake utajuta kumfahamu 😂 Yangu ni hayo tu mnapoishi nao huko mjue jinsi ya kuwaepuka msiwaumize #LEO #leo♌️ #zodiacsigns #aquarius #gemini

THE GOLDEN LEO ♌️
THE GOLDEN LEO ♌️
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 March 2026 21:14:03 GMT
51234
2250
500
153

Music

Download

Comments

sukari118
LEO BAE ♌️ :
Waambie pia kuwa sisi ni mtakuja utazngukaaa uko ila apaaa utarudiii tu😒😁😂
2026-03-08 05:47:45
167
mamyboyqian19
tylda qian🩵 :
LEO ♌🦁 tuwe na group sasa
2026-03-08 06:16:57
134
rahmamoud
Rahma Moud :
alafu leo akikusemea kwa mungu jamaniii Mungu wetu huwa anawahi kutujibu nyie😂😂😂
2026-03-08 11:39:55
62
loveness.rubben
PrettyLovenee🫦 :
😭😭😭Mungu atutoe kwenye vinyongo jaman mm nkimuona mtu aliyenikosea had sura inabadilika
2026-03-08 06:04:39
38
ogperfumes.dodoma
RORO_LUXE _DODOMA :
Na akisema amekusamehe ni uongo anataka kukuonesha Revenge najinsi alivyo move on😂💪💪
2026-03-07 22:02:01
38
hannaaaa775
Mrs Aryaman :
Aiseee nashindwa kumsamehe had kwenye swala namtaja Mungu ampe anachostahili 🤣🤣
2026-03-07 21:43:47
22
nizon_.garnet
Nizon Alfred :
Sawa Leo ♌️ni wababe lakini kwa Aries ♈️mnasubiri sana 😂😂
2026-03-08 07:23:42
7
oriana_tz0
oriana_tz0 :
Am I the toxic one ambae sitaonesha kuumia hata kama nililia nusura ya kufa😂 and I will calmly planing my revenge hata kama itachukuwa 10yrs?… the fun thing I like it coz wanakuwa wamesahau and nawachekea muda wote kumbe ninawachora and plot my revenge every sec😅
2026-03-08 05:58:52
7
queenlyimo64
malik 👣 :
achana na kutosamehe pia hatusahau
2026-03-07 21:55:56
48
user6151927297570
Ezzie🍫 :
Kumbe me ni Leo na nilikuwa sijui huwa inamaana gani ila kwa hizo tabia ni me kabisaaaa
2026-03-08 05:47:11
3
neema.kibonge
Neema kibonge :
Sisi huwa tukikupenda tunajitoa sana ILA ukitudisappoint tunakudelet moja kwa moja na haina comeback.
2026-03-08 13:14:39
14
queenlione17
Queen Leo :
kuna mtu kasema Aries ♈️ni kiboko ya leo...Leo ni mfalme afu Aries ni mtumwa kweli hatuwezan sie stareh inatumaliza😂😂😂
2026-03-08 07:44:52
10
fightergirl057
fighter Girl Edna 🏀 :
na kuna mda tunakubali kosa si letu ili mambo yasiwe mengi lakin moyon tunabaki nalo
2026-03-08 07:13:40
10
unicekimaro
🦋👐🥰🥰 :
😁😁😁😁TENA DHARAU ZAKE MPAKA UNAJICHUNGULIA NIMEJINYEA AU?
2026-03-08 10:30:29
6
zawia.shui
mama rey :
kuna mtu nishamuambia ntamloga na wala sitanii ngoja aniletee upumbav mi sio mwem😅😅
2026-03-07 22:06:08
5
binahmateo5
binahmateo :
leo ni wa mwezi gani?
2026-05-06 21:39:45
0
najo20180
@najo🥰 :
hii kweli japo mi ni Aquarius kuna leo namjua hasau mambo hata ya miaka 10 nyuma kiufupi ana kisasi kibaya😅
2026-03-08 03:28:43
6
sigidi80
Sigidi 🦋🇹🇿 :
nashanga mbona niko hvi kumbe n matatz yangu ya damun kbs😅
2026-03-07 22:03:59
5
dorcas.caretz
Dr Dorcas.Caretz.🇹🇿 :
😂😂😂na uwa nikitaka kulipa kisasi nakupa na taharifa kabisa🥳🥳🥳
2026-03-08 16:24:08
0
tony_mlay
Tony_mlay1 :
Kweli siwez kuka single mdaa mrefu
2026-03-11 20:40:56
4
champanenga
𝙎𝙖𝙢𝙖𝙧𝙞𝙯𝙚 champanenga :
Yani Kuna Malaya kanivuruga nna wiki y pili si fanyi chochte sipati picha nikipona na kusahau atajuta Wallah...😂😂😂😁
2026-03-08 12:10:58
2
aisha.riziwani
Aisha Riziwani :
msinichambe jaman nataka kujua tu maana ya Leo coz sijaelewa nikisoma comment nikama nazungumziwa mim ila sielewi
2026-03-18 06:09:11
0
chadiashasha
Mi corazón merece paz🤍♌️ :
11 augst
2026-03-09 17:52:46
1
tm_point
tm_point :
Name ni mwepesi sanaaa wakusamehe jamani😅😅😅😅😅
2026-03-08 11:54:19
1
asnatramadhan255
Hasnat ramadhan :
😂😂😂 ila mi saivi ñimeacha nasamehe halafu nakupotezea kama sijawahi kukujua
2026-03-08 10:24:15
4
To see more videos from user @thegoldenleo4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About