@newlifekitchen.ware: 🔥 BLENDER YA MKONO YA KUCHAJI – IMARA SANA! Blender hii ya mkono ni nzuri sana na inachaji, hivyo unaweza kutembea nayo kama chupa na kuitumia popote ulipo. Inasaga vizuri matunda na hata barafu (ice) bila shida. ✅ Inachaji (Rechargeable) ✅ Rahisi kubeba kama chupa ✅ Inasaga matunda na ice kwa urahisi ✅ Inafaa kutengeneza juice, smoothie na detox ✅ Imara na inadumu kwa muda mrefu 📍 Tupo Kariakoo mtaa wa Agrey na Sikukuu 🚚 Tunafanya Delivery Dar na mikoani kwa uaminifu 📞 Call / WhatsApp: 0621 826 585