@swahili_kitchen: ‼️VISHETI AU VIKOKOTO‼️ ❤️Happy women’s day❤️ Hii ni zawadi kwenu wote mliotaka recipe hii ya biashara ya visheti, I hope itawafaa na mtaifanyia kazi, mtu wa kwanza kupika kwa biashara aniambie nitanunua vya Tsh Kama una swali niulize nitajibu 20000, LOVE YOU ❤️

Ayam❤️
Ayam❤️
Open In TikTok:
Region: AU
Sunday 08 March 2026 12:25:26 GMT
158146
3442
139
467

Music

Download

Comments

groly.2020
roly bakery 🍞🥖🍰🧁 :
Sukari kiasigan
2026-03-08 23:24:25
2
nabby361
Nabby 🥰❤️ :
Na hujaweka amira wala baking powder
2026-03-08 17:38:36
1
hamidahibrahim103
QUIN HAFEEE :
u dont put little baking power
2026-04-22 14:08:34
0
kiana_istore
kiana_istore :
Naomba ngano nitafune🤭😂😂😂
2026-03-08 12:46:21
1
user81501191483888
Rehema Kibwana :
asante unatujuza vyema asante
2026-03-09 05:42:53
1
official_maryrich
mary rich :
baking powder ujaweka
2026-03-25 08:19:24
0
alaqsa.publishing
Alaqsa Publishing :
Naweza kuweka vanilla instead of cardamom?
2026-04-23 01:40:32
0
zedyzaharanjuma
Zedy Zaharanjuma :
Iyo butter ndo siagi au
2026-07-13 04:49:06
0
thumaya50610
GLAM MAYA MAKEUP SALOON :
mbn mm nimepik jana kilo2 sukar shira nusu lkn haijakauka vibaya nn shida ktk.shira
2026-08-17 12:37:11
0
user7557199575786
it's Annette :
umenikumbusha dadaangu alikuwa anatupikia home sema kashaolewa anampikia mume wake😩😩😅😅
2026-03-09 14:18:33
1
maleledebora45gmail.com
The only eyes 👀😘 :
🥰🥰sukari lazima nyeupe Kwan ,,, maana naona ya brown ndo available huku nilipo
2026-03-09 04:20:40
2
jenirozadamiano
Jennie :
kamahuna samli
2026-03-11 05:49:27
0
t0xzi4
👾 :
ح
2026-03-09 10:33:06
0
neemamtuta
Neema Mtuta :
samahani vina kaa kwa mda gani bila kuharibika?
2026-04-24 11:51:10
0
monicacakesandbites
Monica cakes and Bites :
samahn, mbona umekanda bila kuweka sukari half Shira unatumia sukari nyeupe au brown🙏
2026-03-08 16:13:15
0
sharysweety
Sharysweety 💍🌺💖 :
Mi nawezaga kote hapo kwenye kukoroga shira ndio kipengele ❤️
2026-03-09 07:56:20
0
miss66ty
cute Mumy :
baking powder hujatia en
2026-03-18 03:16:12
0
t0xzi4
👾 :
ج
2026-03-09 10:30:48
0
user1416550385149
user1416550385149 :
hujaweka hamira?
2026-03-09 12:33:27
0
zttpremium
ZTT lishe and peanut butter🧈√ :
kipenzi ukitaka vikae mwezi mzima visiharibike unafanyaje
2026-09-18 09:39:21
0
miss.zhee
miss zhee💕 :
Mbon hazibaliki
2026-09-08 18:56:02
0
user37417055230374
marry :
na baking powder co muhmu kuweka
2026-09-16 10:24:27
0
miss.zhee
miss zhee💕 :
Kweny shira umetia sukari na nin
2026-09-08 13:53:31
0
nanaahlittle
Milo 😍 :
Naomba Nielekeze kwa ajil ya biashara najua kuandaa
2026-09-11 04:22:21
0
t0xzi4
👾 :
ح
2026-03-09 10:36:41
0
To see more videos from user @swahili_kitchen, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About