@stans_tz: Hakuna zawadi kubwa niliyopata maishani kama kuitwa mwanao. Malezi yako, sala zako, na tabasamu lako ndivyo vinavyonipa nguvu ya kupambana kila kukicha. Leo katika International Women’s Day nakushukuru kwa kila kitu ulichonifundisha na kwa upendo usio na masharti uliyonipa. ❤️🙏 Heri ya Siku ya Wanawake Duniani mama yangu. Mungu awabariki wakina mama wote duniani. 🙏 #WomenDay #Stans #Sawa
STANS
Region: TZ
Sunday 08 March 2026 16:00:43 GMT
Music
Download
Comments
37 macartoon :
Mama ww ndo kila kitu kwangu asante naku penda mama
2026-03-08 17:04:12
10
Jaynnessy Cute🎀🧸🦋 :
𝑴𝒚 𝒎𝒐𝒎 🥰
2026-03-08 20:55:48
3
SANGA MZIKI :
sanga mzik kachafua uko umeona
2026-03-08 16:06:06
5
PM :
big up my mother ❤️
2026-04-26 18:07:07
1
voice melody tz :
saf san kk😁😁😁😁
2026-03-08 16:53:33
3
𝓓𝓪𝓭𝓭𝔂..🦅 :
Hakuna kama mama ❤️❤️❤️
2026-03-08 19:32:29
2
Kide_🧸 :
Kaka 🫡
2026-03-08 20:52:30
2
Wyene Tz :
kabisa brooh❤️🔥🔥💯
2026-03-08 17:23:06
2
𝑭𝒊𝒏𝒆𝑩𝒐𝒚🦅 :
no one like mom🥰
2026-03-08 18:28:48
2
BEE HONEY26🐝🦋🦋 :
Mam mkwe 😂😂💕
2026-03-09 05:24:25
2
fei bad💪 :
mama yetu
2026-03-09 04:04:30
2
PACHA_WA_JAYMELODY :
BIG🔥👑
2026-03-09 05:29:04
1
hidaya mcute 254🤍🦋🇰🇪 :
mama🥰🥰🥰🥰
2026-03-08 18:16:01
2
Mii catie ❤️💫🇹🇿🇨🇦🍫 :
jamani mama😂😂
2026-03-08 22:02:59
2
dammydullo :
Maza kafurah kukuona👏👏👏🫡
2026-03-09 06:24:03
1
Faustina George❣️❣️ :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰Mom
2026-03-08 17:19:58
3
Santana_cee :
Mama yetu
2026-03-10 18:54:18
1
Stance💙💐 :
Eshima kak mkubwa🤚
2026-03-08 16:51:35
3
MRS MRUGURU 💃💃OG% :
nimeshaa mtambua mama mkwe wangu
2026-07-16 08:09:10
0
Jay4teez👑 :
Nakubar san hakuna kama MAMA.
2026-06-03 14:09:41
0
Sir Robby :
hakika
2026-05-07 19:46:25
0
Tayoo tz🛼 :
mama ye2
2026-04-02 21:11:26
0
bravah santana :
mpende sana mama kaka
2026-05-09 16:19:48
0
🧚🧚♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡🧚♂️🧚♀️ :
mmefanana
2026-03-09 07:44:24
0
To see more videos from user @stans_tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.