@jam.beauty.solution: 🦠🦠🦠Mawe kwenye figo (Kidney stones) na Madhara yake🦠🦠🦠 🫁Mawe kwenye figo ni vipande vigumu vinavyoundwa kutokana na madini na chumvi zinazojikusanya ndani ya figo. 🫁Hali hii kitaalam inajulikana kama "Nephrolithiasis." Inaweza kusababisha maumivu makali na matatizo mengine ya kiafya. 👉Madhara makuu ya mawe kwenye figo 🦠Maumivu makali sana Maumivu huanza ghafla mgongoni au pembeni ya tumbo.Wakati mwingine huenea mpaka kwenye sehemu za siri au chini ya tumbo. 🦠Maumivu wakati wa kukojoa Mtu anaweza kuhisi kuchoma au maumivu wakati wa kukojoa. 🦠Damu kwenye mkojo 🦠Mkojo unaweza kuwa wa rangi ya pinki nyekundu au kahawia. 🦠Kichefuchefu na kutapika Maumivu makali yanaweza kusababisha kichefuchefu au kutapika. 🦠Kukojoa mara kwa mara Mtu huhisi haja ya kukojoa mara nyingi kuliko kawaida. 🦠Maambukizi ya njia ya mkojo Mawe yanaweza kusababisha maambukizi kama "Urinary Tract Infection." Dalili ni homa, baridi, na mkojo wenye harufu kali. 🦠Kuziba kwa mkojo Jiwe linaweza kuziba njia ya mkojo na kufanya mkojo usipite vizuri. 🦠Uharibifu wa figo Kama hayatatibiwa kwa muda mrefu, yanaweza kuharibu figo na kusababisha "Kidney Failure." 👉Mwone daktari mara moja kama una: 💥Maumivu makali sana yasiyopungua 💥Damu nyingi kwenye mkojo 💥Homa na baridi 💥Kushindwa kukojoa 👉Namna ya kupunguza hatari ya kupata mawe kwenye figo ✍️Kunywa maji mengi (angalau lita 2–3 kwa siku) ✍️Punguza chumvi kwenye chakula ✍️Usile protini nyingi kupita kiasi ✍️Kula matunda na mboga zaidi KARIBU KWA USHAURI ZAIDI NA TIBA WHATSAPP NO KWA BIO

Jam healthy solution1
Jam healthy solution1
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 March 2026 16:08:19 GMT
965
14
2
6

Music

Download

Comments

user6663255514654
anita :
unaweza tumia vyakula ngani
2026-06-10 06:56:48
1
To see more videos from user @jam.beauty.solution, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About