@mbtvkenya: Binadamu ukimtegemea, mapenzi yake yakibadilika na hali yako hubadilika. Leo akikupenda atakutendea wema, kesho akikuchukia anaweza hata kukudhuru au kukuweka gerezani. Lakini ukimtegemea Allah, yeye habadiliki wala hakudhulumu. Mtegemee Muumba kuliko kiumbe. 🤲 Aya ya Qur’an: وَمَن يَتَوَكَّلْ عَلَى اللَّهِ فَهُوَ حَسْبُهُ “Na anayemtegemea Mwenyezi Mungu, basi Yeye humtosheleza.” Qur’an 65:3 Hadith: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ ﷺ: “Ukimuomba, muombe Allah; na ukitaka msaada, uombe msaada kwa Allah.” Imepokewa na Muhammad (Tirmidhiy) Moyo wako usimfungamanishe sana na binadamu, bali mfungamanishe na Allah, kwani binadamu hubadilika lakini Allah habadiliki. 🌙#Islam #IslamicReminder #mbtvkenya
Sh. Muhamad bahero TV
Region: TZ
Monday 09 March 2026 05:20:20 GMT
Music
Download
Comments
Aliyaan :
kwely...
2026-04-20 18:54:51
1
yussuf :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰❤️❤️kweli
2026-04-20 15:49:24
0
Samuel Lukumayi :
hongera sana kwa kuwafundishaa
2026-03-09 14:20:08
0
Nasrah chambi06 :
Allah akulipe kheir nying shekhe
2026-03-17 14:07:23
0
user93330314842331 :
subuanaallah 😭
2026-03-09 05:54:38
0
Samuel Lukumayi :
Salam mhamad
2026-03-09 14:19:12
0
maniherson :
412141#MASJID hii contribution bado inaendelea na kama imeshakatishwa ?jee kama mtu amecontribute itawafikia?
2026-03-16 01:28:41
0
Safii :
❤️❤️❤️
2026-03-09 08:57:23
0
jay Jey :
🖤🖤🖤
2026-03-13 03:45:53
0
husseinshecky :
🥰🥰🥰
2026-03-09 12:55:46
0
Gefa :
😂😂😂
2026-03-17 18:19:37
0
Najma |بنت المعمري 🇴🇲 :
💯💯💯
2026-03-09 07:00:36
0
ibnu bashiir :
🥰🥰🥰
2026-03-28 15:48:32
0
To see more videos from user @mbtvkenya, please go to the Tikwm
homepage.