@golden.touch.perf: Jinsi/Namna ya kufanya layering (combo) perfume mbili ili unukie expensive. #goldentouchperfumes #viraltiktok #viralvideo #perfumetiktok #fyppppppppppppppppppppppp
Unajua madhara ya kiafya kupulizia hzo chemical kwenye shingo ambapo mishipa mingi ya Damu na fahamu ndo inapita hapo kwenda kwenye ubongo?
2026-03-09 10:56:20
10
Dorice❣💋 :
zote mbili ni bei gani?
2026-03-11 07:22:11
1
The Don DM :
Bei gn hz 2
2026-04-21 13:36:18
1
Xide Moura :
Unanukia hadi huku mzee
2026-03-09 14:04:31
1
user486181360150 :
9pm Rebal ni bei gani
2026-03-09 10:45:32
0
El Capitano :
zote ni bei gani
2026-03-10 22:48:52
0
jumong黑色 :
mikoan unatuma
2026-03-11 04:39:51
1
Peter Ole-Lengine :
mna patikana wapi
2026-03-13 15:37:40
0
go_collectioni :
Sema Perfume COMBO haijawahi mtupa mtu🥰
2026-03-09 06:32:34
0
Mariyam🦋 :
Marshmallow nichanganye na ipi
2026-03-16 10:30:18
1
Eng. Rogers Mosha :
Asee , unanukia kinoma 🔥🔥
2026-03-11 05:15:41
0
Samwely Mmary :
nalipiaje
2026-03-17 12:06:26
1
LAKUCHUMPA 999 :
ukishanukia
2026-03-20 13:56:35
0
halima 🦋🦋❤️❤️ :
nataka yakike nziri zaid
2026-04-28 11:36:05
1
Mr. JOM :
Ushauri wa kutumia perfume kwa usalama:
1. Paka/pulizia kwenye nguo badala ya ngozi
2. Epuka kupaka/kupulizia sehemu zilizo na michubuko au vidonda
3. Tumia kiasi kidogo (usi-overapply)
4.
5.
2026-04-28 09:40:53
0
frankclasicfashion :
Safi sana
2026-03-13 04:33:02
0
Vee❤️♋️ :
Yan unanukia mpk nilipo🥺🥺
2026-03-10 20:43:15
0
Samwely Mmary :
nataka iyo supremacy
2026-03-17 12:06:16
0
alpha omega :
bei tafadhar
2026-03-11 11:40:19
0
🅹Ⓤ🅻Ⓘ🅴 💞💞 :
Ivi mbona siku izi perfume n ghali sana Kwan kuna nin🤔? Nilienda na 50k duka la perfume Nilikuwa nataka hiyo 9pm, nikaambiwa nin 15Ok nikaishia tyu kusema Ahsante😩
2026-04-23 11:29:18
1
Nurdin Bakari139 :
reef 33 na supremacy combo inaenda
2026-03-16 10:36:05
1
yoramernestjnr :
Combo ya Ramz ratafa au Now ipi?
2026-03-09 12:58:18
2
Irenegunzar :
Eclair na ipi?
2026-03-09 10:53:18
1
rajabu haruna :
Hiyo 9PM bei gani
2026-03-13 07:58:33
0
Peter Ole-Lengine :
nahitaji hizo combo
2026-03-13 15:37:59
1
To see more videos from user @golden.touch.perf, please go to the Tikwm
homepage.