@tok.bnez: HOW YOU DO SOMETHING IS HOW YOU DO EVERYTHING T. Harv Eker, katika kitabu chake SECRETS OF THE MILLIONAIRE MIND kuna mahali anasisitiza hili jambo kuwa namna unavyofanya jambo moja huwa inatafsiri wewe unafanyaje mambo yako. Kama ukiamka hutandiki kitanda hadi unarudi usiku kisa ATI ULIKUWA UMECHELEWA basi inatafsiri kuwa hujui mambo ya msingi maishani hayatakiwi KUAHIRISHWA hata kidogo. Ndivyo ilivyo na hili la chakula. NAMNA UNAVYOKULA inatafsiri kubwa sana ya so far wewe ni mtu wa aina gani. Hujakatazwa kula kwa watu rafiki. Ujumbe huu uchukulie tu kama USHAURI WA MUHIMU kwenda nao maishani. Watu waliofanikiwa utakaokutana nao wana namna nyingi mno za kusoma tabia zako. Meza ya mtu mkuu au mtu tajiri au mtu akiyekuzidi kimaisha siyo meza bali ni SILENT INTERVIEW. Kuna watu wamekosa kazi au promotions au business opportunities baada ya kula na aliyekuwa ameshikilia fursa hiyo au aliyekuwa MLANGO wa fursa hiyo. Achana na kauli nyepesi za kwenye malori zile kwamba "KAMA IPO IPO TU". Ndo maana wamebaki kuendesha malori (no offense). Kwenye maisha kuna kitu kinaitwa LOW TRUTH na HIGHER TRUTH. LOW TRUTH ni Mungu anampa fursa kila mtu. HIGHER TRUTH ni Mungu huwapa fursa za maana waliojiandaa kuzihandle. Tafuta kujua HIGHER TRUTHS katika safari yako ya mafanikio. UTANIKUMBUKA. KUHUSU COACHING: KUNA AMBAO MMEKUWA DM KUULIZA KUHUSU COACHING. COACHING IS NOT FOR FREE. NIMEWEKA UTARATIBU WA KUWASAUDIA WANAOHITAJI NA "FEE" YA $100 (KAMA TZS 250,000) KWA MIEZI 6. I BELIEVE MTU SERIOUS MAISHANI HAWEZI KUONA HUO NI MZIGO KWAKE KAMA KWELI ANAHITAJI KUSAIDIKA. SO USIJE KAMA UNAONA KWAKO NI MZIGO. MIMI PIA KWANGU NI MZIGO KU COACH MTU NISIYE NA HAKIKA KAMA ANATHAMINI MY TIME. SO STAY WHERE YOU ARE. BUT KAMA UMEAMUA KWELI KUFANIKIWA HASA KIBIASHARA NJOO TUFANYE VITU SERIOUS. DM AU TUMA NENO: "I AM READY" KWA WHATSAPP NO. 0788 366 511. LET'S GO!

Talk Business
Talk Business
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 March 2026 09:03:54 GMT
2311940
113158
2343
16049

Music

Download

Comments

joe_styles_
joe styles :
mbona tunakazi sana sisi masikini😅
2026-03-11 08:24:13
649
panthroslight
Panthros Light :
Thanks in advance
2026-06-09 20:41:00
1
cous175
Cousin 🧿🧿 :
Mbona una fanana na aliepotea🥺🥺
2026-03-09 11:25:01
1252
ummy.farhan2
umm farhan :
kuanzia leo let me control kijiko 1st😅😅😅
2026-03-10 12:56:22
161
dadadignity_tz
dadadignity✨✨ :
Nimejifunza vitu!Thank you for this!
2026-03-10 04:43:43
180
user3587431775396
user3587431775396 :
Chakula kina tafsiri kubwa Sana tuwe makin njaa ya masaa machache isituharibie destiny🙌🙌
2026-03-10 09:21:35
576
bracefx6
BRACE FX..... :
it's my birthday Brother no one to wish me🍕🍕🍕🍕🍕🥮🥮🥮🎉🎂🎂🎂
2026-03-17 04:49:09
8
lifeofjulius0
julius :
maboss watatuua sasa
2026-03-09 20:20:31
353
magulumbata
Magulumbata :
Sasa mimi nim-impress binadamu ili iweje. Be yourself ma’men
2026-03-20 16:08:07
17
seba23614
Seba :
How you do anything is how you do everything
2026-03-09 11:26:46
144
meena.meena008
meena meena :
kweli hata mama yangu alisema heshima na mafanikio yanaenda pamoja
2026-03-09 10:27:39
278
simon.muhamedi
Simon Muhamedi :
this is the first-time I've seen post but it really blessed me!
2026-03-10 09:22:34
89
dannypointofbeuty
dannypointofbeuty ♋️ :
Nani kaiona Hii post Leo jumatano 🙏
2026-03-11 04:46:15
759
lizperrie5
Tr.Liz :
Mimi nala hivo hivo ..wacha wani judge. hakuna food heaven 😅😅
2026-03-22 19:06:03
7
agnestheobert
Wanjiru :
Nafurahi sana kupata haya mafunzo in my 20’s…..Nazidi kuwa msichana mwenye awareness 🙏
2026-03-09 10:18:43
663
mm68072
Mysterious one :
Mwenye anamwona 1st time and already like him hi
2026-03-11 09:19:31
33
jovin.jovit7
jovin jovit tz 🇹🇿 fate :
10/10
2026-03-10 07:22:16
8
milton.spanish
Milton Spanish :
Nimejifunza kitu nachukua hii naondoka nayo🙏🙏🙏
2026-03-28 06:14:25
6
yuniamgalus
EunMg🎀🦋 :
nmejifunza walaah God bless ue😳
2026-03-14 08:47:06
7
okerodalawcrin
lawcrin :
TikTok n funny, nmeitiwa date then napatan n hii
2026-03-11 09:53:31
16
africlover
Apondi Odingo :
I dnt normally take food in invited events, it's either I take water or a soft drink...thus my principle from once upon a time.
2026-03-11 11:40:33
159
dagboyseven777
dag boy 7$even :
Protocol, Etiquette and Chivalry ni muhimu kufahamu hivi
2026-03-09 12:46:29
128
user6758778468041
user6758778468041 :
This was part of a job interview for me..., I was just invited for a lunch.., I failed
2026-03-13 19:52:20
6
elizabethpriscus
elizabethpriscus :
Hii imekaa powa Thankx
2026-03-10 02:53:17
16
To see more videos from user @tok.bnez, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About