Mi hizo ndoto nisehem ya maisha yangu naomba nisaidie
2026-03-09 21:36:16
10
UmmyNihla💗✌️ :
tobaaa
2026-05-04 11:50:55
0
Freedom :
tunaomba utusaidie tu kaka
2026-05-01 16:54:30
0
mama samiri 🥰❤️ :
kweli
2026-03-09 16:06:37
1
khalama baby :
mimi mama anitoki akilini na nimemuota kakondaa sana
2026-04-27 15:21:43
0
Jonathangaele4 :
ndiyo ndiyo
2026-03-16 20:42:09
1
Father-gola :
kweshima
2026-04-25 20:49:26
0
baby happy ❤️🔥 :
nilisha wahi kaka naomba unisadie
2026-03-10 12:19:26
0
Gift Joachim :
naota nafundisha sekondari sana wakati nilishaaccha iyo kazi miaka kumi inamaana gani
2026-04-04 09:46:01
0
sherrly :
ndio
2026-03-10 04:54:46
0
nahimana grace :
iyo kwl 😳
2026-04-14 23:24:49
0
Happy Joseph :
naota sana kaka nisaidie
2026-04-25 20:35:16
0
Ann Munene :
mimi
2026-03-21 17:28:06
0
thomaswanyama366 :
ukweli mtupu
2026-04-11 17:15:13
0
Mwadjuma kjb Kjb :
ndiyo kk
2026-04-04 15:50:51
0
sarah :
zote
2026-04-12 11:56:30
0
Sanney :
ndyo
2026-03-31 08:56:26
0
payebi :
ndiyo
2026-04-01 05:15:14
0
natashah😘 :
mm kula
2026-05-05 19:44:22
0
Farhiya Anwary Farhiya :
nimeona
2026-03-12 00:34:03
1
kezzajuma :
pia me napenda sana kuota nikila,nikikimbizwa na watu wabaya kisha napaa & napita kwenye nyoka wengi sana naomba unisaidie kuzijua hizo ndoto manake
2026-04-29 12:12:03
1
g_clstn :
Naota sana kula. Tena nikapita roud 2
2026-04-30 12:02:46
1
tiffahbebeh😘😘 :
kaka angu me naota sana nakula
2026-03-09 17:42:15
1
Himaya 🍃 :
zamani nikiota ninataka kula yan chap naamka toka usingizini ila sasa hivi louhh! sijui nini nifanye huwa ninakula sana ndotoni douhh 😭😭 sipendi hii hali
2026-03-09 21:16:19
2
Dalali masasi general :
@PROFESSOR💯 OF LIFE 💥:Mimi naota napaa na watu wananikimbiza ila awajawah nipata
2026-03-09 13:35:20
2
To see more videos from user @planetmanyanda, please go to the Tikwm
homepage.