@godfreythomasayotv: Video ya wadudu wa Arusha inayotrend walivyokamatwa nakulazwa polisi utacheka “hiyo ngijabe,hatujabonyeza kitu oote,hiyo winter chai moja hashpera mahakamani”
Hawa Jamaa wanaikosea sana kuhisi wanachofanya ni Uhuni! lkn in real sense issue ya wadudu imekuwa Sanaa kwa saiz imekuwa maonyesho! so waachwe wafanye Sanaa Yao ....sio Uhuni ni style tu ya maisha
2026-08-02 08:54:56
1
Hecityhunter :
hawana hata mbili🥲
2026-06-04 14:05:54
3
Mrright😎 :
search bar😁😁
2026-06-03 19:23:15
4
Pastory Pk :
kuna rafiki yangu nmekuta nae chuoni alikuwa anaongea hivo hvo
medicine miezi mwezi 1 tu ashangea vzri
2026-06-04 20:59:47
3
To see more videos from user @godfreythomasayotv, please go to the Tikwm
homepage.