@cecy_dagaa_mwanza: Dagaa fresh za moto moto Unapata ofisini kwetu BEI Kisado kidogo 18,000/=… Kisado size ya kati 20,000/=.. Kisado kikubwa 23,000/=… Kwa huduma ya haraka 📞 0621735501
cecy_dagaa_mwanza
Region: TZ
Tuesday 10 March 2026 05:27:27 GMT
Music
Download
Comments
Last born😷 :
mm nawapataje nataka jumla jumla
2026-03-12 08:19:41
10
Mr’s 😋😋😋👌❤️ :
Unapatikana wapi? Dr
2026-03-13 08:10:14
5
janeth Johnson :
naitaji kindoo mamy mnauzaje
2026-03-13 10:43:49
7
salu :
nipostie kisado kikubwa nione
2026-03-10 08:26:35
9
🎀𝓜𝔀𝓪𝓻𝓪𝓫𝓾🌸😘 :
10/10 nalipa kwauwaminifu
2026-03-13 13:45:28
1
URASSA OG :
MIZIGO upo
2026-03-13 17:57:13
2
Pendo :
hawa ndio wale wataaaam
2026-03-13 15:59:49
0
Neema Massay :
Madame
2026-03-12 12:20:36
1
shammy yaa💞 :
jamani mko wap
2026-04-11 12:03:23
0
Modesta Yohana :
nawapataje
2026-03-14 06:07:53
0
jacksonmanga7 :
Bariadi napataje
2026-03-13 18:01:41
0
Netherin Laizar :
Mimi nipo sinza dar _es salaam napataje
2026-03-22 14:25:34
0
jeje :
nipo Zanzibar nataka sado 2
2026-04-08 12:57:46
0
Letisia Lazaro :
wap
2026-03-12 18:01:30
0
kimpalamba_pj :
Dagaa wa ziwa gani, Nyasa, Viktoria, Tanganyika au wa baharini?
2026-03-14 05:34:14
0
user9172268194496 :
nipo mkoa wa mbeya tukuyu
2026-03-23 09:59:37
0
lucia Ngaka :
Nahitaji dagaa wazuri visado viwili bei gani?
2026-03-23 21:30:08
0
mom towtow🥰 :
Hadi dar bei gan usafir?
2026-03-13 17:53:29
0
Nicho :
mnapatikana wapi
2026-03-13 11:03:35
1
G.j113 :
siwezi pata samaki
2026-03-13 15:45:26
1
haji ndota :
mlo wapi nije na ugari wangu 🥰🥰
2026-03-13 09:36:37
1
Shuu Simba Omary :
nikajua ni nyumban kwa Ottoman
2026-03-13 16:16:03
0
@glory 10/10 :
wap
2026-03-10 08:01:00
2
…………… :
Mp sehemu gani?
2026-03-13 08:46:43
1
Mr’s 😋😋😋👌❤️ :
Niko buhongwa
2026-03-13 08:09:51
1
To see more videos from user @cecy_dagaa_mwanza, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.