Mimi: mama naisi njaa. Mama: hoa mke wako atakuwa nakupikia kila mda unaotaka kula. Mke: nenda kwa mama yako atakupikia mda wote unaotaka kula, Mimi sio mama yako et niwenapanda jikoni mda wote unaotaka wewe😂😂😂😂
2026-03-11 01:15:49
61
Irene sam :
kwahyo kwako n wapi
2026-03-17 18:57:39
15
lizzy :
hakun kupoa
2026-05-29 15:33:52
2
Lulu Lee❤🤍 :
mix by yas😅
2026-05-05 12:44:00
10
Asia🌹🌹🥰 :
iyo ni mixx by yas 😅😅
2026-05-22 11:17:29
1
Ester Anthony :
shalom wazurulaji wa titok
2026-04-20 10:30:18
9
Martha official 🥰😍 :
Hiii metch haina mgungaji mkuu😁😁
2026-03-30 11:55:37
5
áwaki🦋 :
mradi tu umekuwa confused😂😂😂
2026-04-30 12:02:57
8
mwatimatituslucy :
bado hujasema
2026-05-08 18:11:24
7
Hasan Libanjec :
hii 😂😂inatoa GG
2026-03-30 19:41:09
3
Lucas Butoke :
Hahaha kumbe nimetoka kwa mama nimeenda kwa mama maana wote ni wanawake
2026-03-17 10:22:00
12
Emmanuel :
hakuna kupoa🥺
2026-05-06 09:56:55
3
Mss_Easter💥💕 :
gudubaiii😁
2026-05-04 13:14:16
4
Johar Kaundama :
inaumaga iyo
2026-05-05 15:13:49
3
Alphonco :
Watatuua aiseee
2026-03-30 09:15:23
3
JORDAN PHONES :
what.??
2026-03-10 13:54:10
2
Sharifa Iddy :
duuuh
2026-03-10 20:39:48
3
𝑚𝑜𝑢𝑠𝑠𝑎 𝑣𝑎𝑛 𝑗𝑜ℎ𝑛543 :
tumuerewe nan🙄🙄🙄
2026-03-15 18:32:56
4
Anna Marcel :
hiyo ndo mixx by yas
2026-05-20 13:27:51
1
Lubote❤️🔐 :
Mke anajiamulia mambo😅😅
2026-05-21 07:22:14
1
KAYA ELDER :
Aii
2026-03-17 07:13:58
2
To see more videos from user @semba.tz, please go to the Tikwm
homepage.