@robby._27: Katika historia ya muziki wa injili Tanzania, jina la Rose Muhando limeendelea kubaki juu kama moja ya wasanii waliobadilisha taswira ya muziki wa gospel nchini. Leo anajulikana kama “Malkia wa Gospel,” lakini safari yake kuelekea mafanikio haikuwa rahisi hata kidogo. 📹 YahstonetownTv #Hatuachikitu #Robbythepv

Robby._27
Robby._27
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 March 2026 17:02:19 GMT
774324
29940
924
1526

Music

Download

Comments

mellomade__
Męłłømąđë :
tunao muamini YESU tujuane apaa
2026-03-11 09:10:27
1214
bnf_csx
crsder :
niliwadharau walokole ,mpaka siku nilipomuona ndugu yangu akipona kanisan ,tangia hio siku nimeamini kweli MUNGU wa walokole yupo hai
2026-03-11 09:31:23
781
mashop_beauty1
Mashop_beauty1 :
Proud to be……mbn mnatoa mapovu hivyo, Yote hayo yanawezekana kwa Yesu.
2026-03-11 06:13:13
353
mablagha
H.M.B :
uongo wallah wabillah watallah huu n uongo
2026-03-11 03:38:12
149
k.e.r.a.h_8
k.e.r.a.h_8 :
Huyu YESU 🙌🙌🙌
2026-03-11 00:13:31
202
bathulisaid
bathulisaid :
pole umepata hasara kubwa na kwa sasa waeza usijuwe lkn cku utakayo kata roho utajuta sanaaaaaaaaa
2026-03-11 13:46:09
82
yesha3232
yesha :
acha uwooongo dada wew
2026-03-11 06:50:15
31
halimamtonga
halima mtonga :
uongo kabisaa
2026-03-11 05:39:29
21
jaden_jazir
jaden_jazir :
Njaaa ni kitu kibaya Sanaa mungu atusitiri amiin Inshallah
2026-03-11 07:43:42
103
koty.watanga
Koty Watanga :
huu ni ungo sana 😁😁😁😁
2026-03-11 09:49:48
8
miulladeboblee
kipenzi wa Allah :
Allah asema tutawajalibu kwa mitihani ya njaa na hofu🤏
2026-03-11 01:04:36
95
josephspantaleo
JOSEPH PANTALEO :
YESU NI NJIA KWELI NA UZIMA
2026-03-12 06:36:52
120
user372027568448
BAHATI SAMSON :
mungu ni mwema nani ange hubili injiri yesu anaponya amina
2026-03-11 04:20:47
157
user39850077921734
d❤️ :
mungu alikuw anakupim iman kumbe huna
2026-03-11 05:37:13
27
briannyitiibengwe2
briannyitiibengwe :
huu ni ukwel mtupu usiokuwa hata na nyongeza Glory be to God hongera mama tunakupenda askofu wa gospel music East Africa
2026-03-11 07:00:17
106
mnyeto.masoud
Mnyeto Masoud :
Njaa kitu kibaya sana
2026-03-11 13:56:53
16
aishamwamnono5
aishamwamnono615 :
njaa mbaya nyie Allah atupe mwisho mwema
2026-03-13 13:45:05
10
damiaojose490
Lidiny Campany :
Bwana YESU asifiwe sana
2026-03-16 04:33:27
5
bin_aboud61
Rafii Aboud :
Hii movie inapatikana netflix?
2026-03-12 11:25:15
5
salma.kigwe
Salma Kigwe :
ayo yalikuwa majaribu tu ila Iman ilikuwa huna
2026-03-11 03:09:35
62
user9943218023884
user9943218023884 :
innalillah wainnaillah rajiun
2026-03-14 22:38:25
5
ibrahimsluhogo8
IBRAHIM :
Mungu ni Yesu
2026-03-11 17:10:42
6
user79179394496572
ocs :
.mungu alikutoa kwa ughaidi
2026-03-11 06:46:10
18
rwandamagea
LEOCIA77 :
Mungu yupo na Anatenda..
2026-03-10 20:20:43
39
To see more videos from user @robby._27, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About