@shaawogox: RASMI ‼️ NAPOKEA ORDER ZA EID BIRIYANI NYAMA YA NG’OMBE TU.. 🌙✨ ORDER ZA BIRIYANI YA SIKUKUU YA EID ZIMEFUNGULIWA RASMI! ✨🌙 Usihangaike kupika siku ya sikukuu… acha Biriyani pambe tukupikie biriyani tamu, yenye harufu na ladha isiyosahaulika! 🍗🍚 🔥 Menu ya Eid: 🥘 Biriyani ya Nyama ya Ng’ombe 📦 Bei: • Kg 1 = Tsh 45,000 • Kg 1 wanakula watu 5 na kushiba vizuri 🎁 OFa Maalum: Kila Kg 1 unapata FREE Juice ya Rozela Lita 1 🧃 📅 Mwisho wa kupokea na kulipia order ni: Tarehe 17 Ramadhan Baada ya hapo order zote zitafungwa rasmi. 📍 Location: Sinza Mori – Dar es Salaam 💳 Lipa kupitia: Mixx by Yas: 16483121 Jina: ALLYUMMYFOODS 📞 Kwa mawasiliano / kuthibitisha order: 0657 111 670 ⚡ Wahi kuorder mapema ili usije ukakosa biriyani tamu ya sikukuu! Karibu sana Allyummy Foods – ladha halisi ya biriyani! 🍛 #BiriyaniYaEid #EidFoodDar #BiriyaniDar #SinzaMori #biriyanipambe