@fitstars_1: Tango ni tunda zuri sana kwa mtu anayelenga kupunguza uzito kwa sababu: 🥒💚 ✅ Linaa maji mengi (💧 zaidi ya 90%) Inakusaidia kushiba haraka bila kuongeza kalori nyingi, hivyo unapunguza kula kupita kiasi ✅ Kalori chache sana (📉) Unaweza kula kiasi kizuri bila kuogopa kuongeza uzito ✅ Lina nyuzinyuzi (🌿 fiber) Husaidia mmeng’enyo wa chakula na kupunguza kuvimbiwa, jambo linalosaidia tumbo kuwa flat zaidi ✅ Ni mbadala mzuri wa snacks zisizo na afya (🍟❌) Badala ya chipsi au vitafunwa vya sukari, kula cucumber hukuweka kwenye mstari wa nidhamu ⚠️ Kumbuka: Cucumber peke yake haitoshi kupunguza kitambi. Inafanya kazi vizuri zaidi ukiichanganya na: ✅ Lishe bora kwa ujumla 🥗 ✅ Mazoezi ya mara kwa mara 🏃♀️💪 ✅ Kunywa maji ya kutosha 💧 ✅ Usingizi mzuri 🛌 Anza leo! Ongeza tango kwenye milo yako ya kila siku na chagua afya yako kwanza. 💚🥒 Ukihitaji mpango wa kupunguza kitambi, tutumie WhatsApp: +255743892545 Follow @fitstars_1 🌟 kama unataka kupunguza uzito na kitambi.