@shabibyline: Kila siku tunasafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Singida na kutoka Singida kwenda Dar es Salaam kwa mabasi yetu ya VVIP yenye viwango vya kisasa. Ndani ya basi utapata huduma kama: ✨ TV katika kila seat kwa burudani tofauti tofauti safari nzima. 🚻 Choo ndani ya basi kwa urahisi zaidi (hakuna chimba dawa) 💺 Viti vya kisasa vilivyo na nafasi ya kutosha. Lakini pia tunasafirisha mizigo midogo na mikubwa,parcel mikoa na sehemu zote ambazo shabiby bus tunawafikia,kwa gharama nafuu mno.😍😇🙏🏾 Unaweza kukata tiketi ya safari yako kupitia tovuti yetu ya www.shabiby.co.tz LIVE ROYAL 🌍 TRAVEL ROYAL #ShabibyDigital #LiveRoyalTravelRoyal

shabibyline
shabibyline
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 March 2026 07:50:56 GMT
3929
90
4
4

Music

Download

Comments

user35808474303007
Sapna❤️ :
mbona dar Arusha sjaona route hyo ipo jmn na ni how much???
2026-05-07 15:03:26
0
hamisajoseph5
Missah😘😉 :
bei tafadhali
2026-04-16 18:18:54
0
naomi.kimaro0
Naomi kimaro :
Dar to Arusha ordinary bus shingap
2026-03-17 11:35:33
0
emanuel73211
Emanuel :
dar to tabora
2026-06-18 17:18:25
0
To see more videos from user @shabibyline, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About