@mirrsviva: Njooni kumbe kuna sadaka ya Shukran na hamsemi 😳😳 Thijapentaaaa😀😀😀

Simulizi za#mcviva
Simulizi za#mcviva
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 March 2026 09:48:21 GMT
1053287
38786
873
2484

Music

Download

Comments

merlin_jr23
merlin jr :
SADAKA YAKE IMEMSAIDIA KUFUNUNUA YA SIRINI.. PIA HUYO BABA ALIKOSEA SANA KUAPA NA BIBILIA.... MUNGU HADHIAKIWI 🙌🙌🙌
2026-03-12 11:35:22
719
user4703441420441
alice :
Mimi ninashukuru MUNGU Ninajuwa mume wangu Malaya 😁
2026-03-15 09:57:22
156
shfaa.i
Nasreen🖤🦋 :
jmn mbn leo kila nikiingia comment section naona wino umekoza🥺
2026-03-12 17:34:55
219
ree58432
Ree🦋🤍 :
nimependa ulivyo Bana nywele 🥰
2026-03-12 10:31:58
169
estamichael8
Mummy :
mimi karibu nikafate sadaka yangu kanisani 🥺🥹🥹
2026-03-13 10:01:30
50
hawashomary675
hawah💚 :
shida huanzia miaka 8 mpaka 12 😅
2026-03-12 10:20:54
165
nanah.cakes.mwanza
nanah cakes :
Pamoja na story yooote lakin tshirt lako zuri
2026-03-13 14:27:21
193
pkundaakunda
pkundaakunda :
adisia harakaharaka nipande daladala 🥹🥹
2026-03-12 18:09:55
122
mc901030
001 :
your so beautiful dada msimuliaji
2026-03-13 10:38:17
45
mosses.mash
mosses.mash :
Dada sadaka ya shukuranii ina komboa mambo yanayo fanyanyika kwa sirii mm nilitoa iyo sadaka na baba mjengo nikwa mm ndiyo mimeshika iyo sadaka mamboo mungu aliyoo nifunilia ya uyoo baba achaa sadaka inakomboa👏👏👏
2026-03-12 10:03:17
215
laurencollection618
Lauren collection :
ila me kwa uelewa wangu ningerudi tena usoni pa Mungu kumwambia asante sababu ile sadaka alio toa Mungu kamfunulia ukweli .baada ya hapo naomba kumuuliza Mungu ni kweli umenipa kujuwa hili naomba msaada wa nini nifanye .Mungu atakisaidia nini ufanye
2026-03-13 11:25:38
44
sadah.dee
Imani shoes :
Uyo dada wa kazi ni mimi! alinibaka 🥺
2026-03-13 10:40:06
29
rebeccasamuel59
It,s Rebby :
hivi hauna group jamn tuwe na vikao vya mara kwa mara
2026-08-21 07:57:59
8
user9914900242273
shalifa radi :
Mlio penda tisheti tujuane😂🌹
2026-03-13 20:22:22
7
user7319374675058
user7319374675058 :
nachoka mimi mwenzenu ninavyomuamini mume wangu uwiiii
2026-03-14 08:22:13
32
rajimu_
rajimu_ :
ilaaa huyuu dadaa mzury 🥰kunaa mtu namfananisha nae🥰
2026-03-12 19:41:45
32
pastor.dianisha.emma
@Rv.pastor.Dianisha.Emma :
sadaka ya shukrani ilifanya kazi kweli kweli
2026-03-14 15:42:50
11
happyeli96
happy-eli :
Nimependa tishet yko sana
2026-03-12 19:56:40
26
d239017
D🥰 :
ilo shatii zurii jmn nimelipenda🥰🥰
2026-03-12 15:02:01
29
pilscooby2
Pilscooby :
ngja nkatoe sandakan ya shukran na mimi jmn..
2026-03-12 15:34:57
58
happykomba4
Hapilicious :
Mi Tshirt yako tuu 🥰🥰
2026-03-17 10:08:15
5
glorytogod616
Prosperous😘🥰 :
hyo story ni kama rafiki yangu wosia unasomwa watoto 4 yeye ana watoto 2 alaf hao wadogo kuliko wa kwake oyaah wanaume🙌🙌🙌
2026-03-12 10:54:52
98
aujeniamerida
🍁RASH GIRL OUTIFTS🍁 :
Mje mniungishe nguo wanawake wenzangu 🥰
2026-03-13 13:17:38
27
mwandu533
mwandu :
sawa na stori yako ila nimependa tishet
2026-03-12 17:29:44
19
user1539289476773shazimi
shazimina 💞 :
Yani kweli
2026-03-13 16:23:00
5
To see more videos from user @mirrsviva, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About