@promentaconsultancy: Kwa mawasiliano tupigie kwa namba zetu ziko kwa bio 📍Dodoma 🇹🇿 #taxcompliance #taxconsultant #Biashara #tiktoktanzania🇹🇿

PROMENTA CONSULTANCY COMPANY
PROMENTA CONSULTANCY COMPANY
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 March 2026 16:14:43 GMT
129465
2668
174
1807

Music

Download

Comments

almass.mbeleke5
Almass Mbeleke :
sasa TRA watajuwaje kama ninatunza kumbukumbu au situnzi
2026-03-12 17:28:45
7
nisi__k
nisi_k brands 🇹🇿 :
Ila bona hujamalizia hiyo namba 4?😁😁😁 kwahiyo ni 3.5% ya millioni 100?
2026-03-12 16:57:10
2
tumainikayombo
Mrs J💯💞💍💎 :
kusema kweli TRA wanatuibia sana😭mtu unakuta mauzo yangu kwa mwaka hayazidi milioni nne lakini wanakukadilia 250,000 kweli
2026-03-13 19:53:22
5
ludanga.rashid
Top Striker :
Asante kwa elimu nzuri🙏
2026-04-12 04:24:31
2
evatonisolutionnyamongo
EvatoniSolutionNyamongo :
hebu fafanua, hiyo milioni 4 au zaidi ni faida au faida na mtaji?
2026-03-15 05:39:29
0
tuttylm
Tuty lastm :
Ahsante sana kwa Elimu hii nzuri Ubarikiwe
2026-03-13 18:39:37
1
user19101511050934
SAPA ALUMINIUM &HARDWARE :
malizia sasa 3.5% makadirio yake ni sh. ngap
2026-03-13 10:31:07
0
maliyatabu_og
The_King_Leo :
Ahsante sana
2026-03-13 04:31:51
2
posher_cosmetics_dodoma
posher_cosmetics_dodoma :
Kumbukumbu ya manunuzi means risiti au kuandika kwenye daftari manunuzi yote ambayo unayafanya??
2026-03-13 07:40:24
0
emmanuel.sira
Emmanuel Sira :
Asante nipata kitu barikiwe
2026-03-13 03:29:25
1
vitusmc8
Vitus :
Asante mwalimu🙌
2026-03-13 03:33:57
1
reshermussa
reshermussa :
hiyo 90000 inatokana na nn
2026-03-13 08:59:58
0
mamaemicare
Mama EMiCare :
kwahiyo kunatofauti ya leseni ya biashara na kodi..?
2026-03-13 09:02:25
0
user1393398854965
user1393398854965 :
ni mauzo au faida?
2026-03-13 10:52:07
0
hatibujoshi
NDITI SHOP CENTER :
sasa kama biashara hujaanza unakadiriwa vp
2026-03-14 00:23:26
0
sifikasenkondo
Sifika_Vyombo_Classic :
Sasa kwamfano mtu ndio unaanza biashara?
2026-03-24 20:40:08
1
user4630578142075
user4630578142075 :
Safi
2026-03-13 23:53:13
1
nisi__k
nisi_k brands 🇹🇿 :
mimi nilifunga biashara kwa kukosa ufahamu kamam huu. nashukuru sana
2026-03-14 19:49:15
1
benbrian122
Benbrian :
asante
2026-03-15 04:55:27
1
charleslupia
charleslupia :
iyo ya nne unalipa asimia 3.5 ipi kwenye mauzo ama manunuzi
2026-03-13 15:37:56
0
user57165940117316
innomoney :
mfano ndo unaanza
2026-03-12 17:48:42
1
azyhoodydm
YOU DON' KNOW ME #YDM :
hizi information zimekua very helpful
2026-03-13 11:35:22
1
brianbenard
Brian Benard :
kwa upande wa kampuni hii ipoje
2026-03-13 09:11:30
1
freddiezayumbah
Freddy Zayumbah :
Massive Respect
2026-03-12 20:07:09
1
vitusmc8
Vitus :
Tufanyie ya business name🙏🏽
2026-03-13 03:35:25
0
To see more videos from user @promentaconsultancy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About