@madam_njombo: Ili mwanaume aweze kumpa mimba mwanamke, mbegu za kiume zinapaswa kuwa na afya, ziwe nyingi na ziwe na uwezo wa kusogea vizuri. Lakini wanaume wengi hawajui kuwa mambo kama lishe duni, msongo wa mawazo, pombe, sigara na sumu mwilini yanaweza kupunguza nguvu ya mbegu za kiume. Mbegu dhaifu zinaweza kusababisha changamoto kama:- Kushindwa kumpa mimba mwanamke kwa muda mrefu Mbegu kuwa chache au zisizo na nguvu Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa Ndiyo maana ni muhimu mwanaume kuchukua hatua mapema kuboresha afya ya uzazi, kwa kula lishe bora, kufanya mazoezi na kuepuka tabia zinazoweza kudhoofisha mbegu za kiume. #afyayauzazikwawanaume#afyayauzazi#uumekusimamalegelege#videotrandingviral#foryourepage

Afya ya Mwanaume_Tz
Afya ya Mwanaume_Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 March 2026 19:02:24 GMT
983
7
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @madam_njombo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About