@paza_sauti_media: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wake Mwenezi, Kenani Kihongosi, kimempatia TSh. Milioni 15 mwanamke mmoja mkazi wa Mwanza, kwa ajili ya matibabu ya nyonga alizodai zimesagika. Mwanamke huyo Heppness Benedicto, alifika kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu Mwenezi huyo wa CCM Taifa, kuomba msaada wa fedha za matibabu ya tatizo hilo alilodai limemtatiza kwa muda sasa. Baada ya kuwasilisha ombi lake hilo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi, alielekeza chamani fedha hizo zipatikane haraka na amkabidhi angali yupo kwenye mkutano huo, uliofanyika Uwanja wa Furahisha Machi 12, 2026 na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi.
Paza Sauti
Region: TZ
Friday 13 March 2026 05:28:39 GMT
Music
Download
Comments
JITU JINI👿 :
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
2026-03-13 06:00:32
0
To see more videos from user @paza_sauti_media, please go to the Tikwm
homepage.