@samsonmbembela1: Kulipia Mzigo Nje Ya Mfumo Ni Hatari Kubwa, Kwa Sababu Unampatia Muuzaji Pesa Zako Bila Kuwa Na Uhakika Wa Kupokea Kile Ulichonunua. Njia Salama Zaidi Ni Kutumia Mfumo Rasmi Wa Malipo Uliopo Ndani Ya App Unayofanyia Manunuzi. #feisal #feisal01 #alibaba #swahili #tanzania