@yobo_rain_farm: 🐰 Faida ya Sungura Kula Maboga 🎃 Wafugaji wengi hawajui kuwa maboga ni chakula kizuri sana kwa sungura. Maboga yana virutubisho vingi vinavyosaidia sungura kukua vizuri na kuwa na afya bora. Faida zake ni pamoja na: ✅ Husaidia kuongeza kinga ya mwili kwa sungura ✅ Huchangia ukuaji mzuri na uzito bora ✅ Huboresha mmeng’enyo wa chakula ✅ Husaidia sungura kuwa na manyoya mazuri na yenye afya ✅ Ni chakula cha asili kinachopatikana kwa urahisi na gharama nafuu Ukichanganya maboga na vyakula vingine kama majani na nyasi, sungura wako watakuwa na lishe bora zaidi. 📩 Karibu @yobo_rain_farm Tuwasiliane WhatsApp: +255625406807 au +255714060010 🌱 Elimu kwetu ni kipaumbele sana. #viralsong #KilimoBiashara #education #virals #KilimoBiashara