@mkembo255:

Mkembo
Mkembo
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 March 2026 06:18:14 GMT
132953
2197
50
892

Music

Download

Comments

bitungwa
Bitungwa Jane :
kwaya gani hii?
2026-03-16 20:39:13
0
charitychepkemboi
Sean :
name of the choir please
2026-03-14 13:29:49
1
ms.___pendo
ms.___pendo :
Yaaani zamani sijui walikuwa wanaimba kwa kutumia nini maana nyimbo zilikuwa zinaupako sana hadi miziki yao ilikuwa tofauti inavutia 😭🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼✝️💪💪💪
2026-03-14 23:22:45
1
user37812598726172
oloibon254 :
jiana la kwaya na title ya wimbo please
2026-03-16 13:24:49
0
last.born9177
last born💞💞 :
Aloooooo old is gold🥰🥰🥰
2026-03-14 10:20:01
3
ntewahrahma363
unteachable :
kwaya wapi naomba kujua
2026-03-15 13:55:19
0
user81369229374238
user81369229374238 kasiaka851@ :
❤️❤️🙏🙏1996 nilikuwa std 1 na miaka yangu 7😂😂😂 asahivi mi ni baba wa watu Asante Mungu
2026-03-15 14:58:53
0
tairiz_1986
Tairiz Tumain Williams 86 :
Tamu sana hii nyimbo Old is Gold
2026-03-14 10:57:38
2
0757448668dmm
Mcameroon :
kwaya ya wapi hii
2026-03-14 08:27:33
2
rhodamueni846
Rhoda Mueni :
Amen 🙏
2026-03-14 08:55:32
1
user10593651176192025
Neema Nyagawa :
Amina Amina, wabarikiwe Sana mama zetu hao
2026-03-14 08:39:11
2
yona.muze
Yona Muze :
initwaje hii kwaya
2026-03-14 07:58:55
1
jaq0783
JAQ :
hizi nyimbo zilikuwa na ubako.
2026-03-14 19:18:39
1
amnonngullo1gmail.com
amnonngullo997 :
Barikiwa sana waimbaji.
2026-03-14 15:58:19
1
harrison_mutua_engineer
Engineer Harrison mutua :
impressive
2026-03-14 09:53:22
1
jgk11541
Jgk :
Amen 🙏
2026-03-14 14:43:49
1
steveshayo
Steveshayo :
hizo Suruali sasa
2026-03-14 19:38:34
1
steveshayo
Steveshayo :
ni miaka ya 2000 na kuendelea
2026-03-14 19:36:54
1
yona.muze
Yona Muze :
imenibariki sana
2026-03-14 07:59:16
1
qutjulius
Dequtejully :
Unafanya nini hapo ulipo ondoka pangoni hapo ulipo duh nikiwa na umri wa miaka minne nakumbuka hii kandahar ya nyimbo hii tulikua nayo nyumbani
2026-03-14 08:05:40
1
mayengageorge
Mayenga George :
Hizi ndio zilikuwa nyimbo za AIC sasa sio kama za hivi karibuni u marekani mwingi mara disco light mmmh, Ushweeetwani mtupu 😁
2026-03-14 09:40:39
1
eunice.simon7
Eunice Simon :
zamani zilikuwa nyimbo zaujumbe kweli
2026-03-14 08:35:08
1
grace.kahinga3
Grace Kahinga :
ameeeen
2026-05-07 17:56:45
0
nehemi329
NEHEMIAH /JOSEPH :
KAMBARAGE HAO AMINA SANA
2026-04-01 16:24:16
0
joyceruto473
bobjoy :
Nilikuwa form2
2026-03-15 18:01:07
0
To see more videos from user @mkembo255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About