@abdulhafidh575: WEWE NI WA SPECIAL SN UJITAHID USIPENDE KUONYESHA KILA ULICHO BARIKIWA.

Abdul Hafidh
Abdul Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 March 2026 06:19:25 GMT
1271617
58614
1375
5355

Music

Download

Comments

mic84371
mic :
😁😁 kwaiyoo nyie kwenye comments wote mna nyotaa
2026-03-14 15:50:07
316
wardaofficial.gmail.com
warda official :
mm nina makelele ila sipendi kelele
2026-03-14 15:16:40
139
yusra3552
Lady wagwan!!👊No tears no fea :
Sipendi kelele napenda Sana utulivu yani hata msituni naeza ishiii Bora Amani yangu Alhamdulillah
2026-03-14 13:17:55
352
salhah93
Prisca princess :
yaani huyu ni mimi kabisa jamani🥰
2026-03-14 14:40:08
61
ibrahimkhalid101
Mzimba junior1 :
Kuna ulazima wa kuwa na hizo dalili zote au hata dalili moja pia inatosha??
2026-03-14 15:17:06
56
itszee212
itszee :
duh mimi nachukiwa adi nahisi ninadhambi🥺🥺🥺
2026-04-23 10:32:24
13
pesatupupesatupu
pesa tupu 1 :
😳😳 Bro mbona unani sema mimi mungu akubariki nimejijua 🙏🙏🙏
2026-03-14 21:58:10
41
jacobnduya
Jacob Nduya Ndiriamba :
nyota kwenye lugha ya sasa ni energy 😊
2026-03-14 22:29:13
52
nunu300022
🦋Nunu🦋 :
mbn Sina Sifa hata moja 😂😭duuh
2026-03-15 12:43:27
35
virgolily710
it's v.lily :
comment unayoitafuta hapa haipo🤣
2026-03-16 02:58:40
12
fatumanassoro5
fatumanassoro526 :
yani ww unajua
2026-03-29 15:23:00
4
1choparboss
🇯🇲Mr.Superman🦸🏽‍♂️🇰🇪 :
True,Nice Teachings💯
2026-03-14 18:40:24
13
suleimangandani
Slim black dollar :
uko sawa maalimu kweli kabisa
2026-03-14 22:15:36
9
abdallah.rashidi97
Abdallah Rashidi :
ustaadhi nime kuelewa sana sana asante sana
2026-03-28 16:56:25
5
mulheart8
Mulheart💜-S :
Lakin mm mbona watu wananichukia sana😭sijui kwann lkn
2026-04-06 14:37:18
7
nikodem.njovu
nikodem njovu :
10/10 nalipa
2026-03-22 22:02:07
5
user8600134387840
user8600134387840 Makanya :
LA HAWLA WALA QUWWATA ILA BILLAH 🤲
2026-03-14 20:39:16
14
sabrinamzungu
sabrinaMzungu❤ :
true
2026-03-14 18:46:31
5
user47463423376216
nzyavake mulengero :
unaongeya ukweli maicha yangu hayaendi sawae
2026-03-15 09:57:07
5
massu.tambwe.og
Massu Tambwe og❄️ :
Fact ✌️
2026-03-14 13:08:18
10
mushisophia
aggy mushi :
😩😩😩 hata mganga haniwezi nina imanii
2026-03-16 19:23:27
8
zakia.abdula
nicelady26 :
huyo ni mie 💯
2026-03-14 12:19:46
27
baby_zuu__
babyzuu :
mungu wanguu kweli tena yani unacho sema kweli tena kweli sana. kabisaa
2026-03-15 09:29:47
20
fadhil2075
Fadhil :
sifa zote ulizotaja ninazo alhamdullah
2026-03-15 05:19:15
17
rehemarobert89
rehemarobert :
du mbnona unanigusa sana
2026-03-14 23:10:50
9
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About