@rfi_sw: Kiongozi wa wapiganaji wa Hezbollah Naim Qassem hapo jana Ijumaa (Machi 13) alitupilia mbali vitisho vya Israel kutaka kumuuwa. Israel imetishia kumuuwa kiongozi huyo wa Hezbollah nchini Lebanon pamoja na kiongozi mpya wa kiroho wa Iran Mojtaba Khamenei. #Hezbollah #Lebanon #mojtabakhamenei #NaimQassem #Middleeast