@dr.abdulhamiid1: ⚠️ PID sio fangasi wala UTI! Wanawake wengi wanateseka kimya kimya wakidhani ni fangasi au UTI, kumbe changamoto kubwa ni PID (Pelvic Inflammatory Disease) 😢 ❌ Maumivu ya chini ya tumbo ❌ Uchafu usio wa kawaida ❌ Maumivu wakati wa tendo ❌ Hedhi kuvurugika ❌ Changamoto za uzazi 👉 Usikae na tatizo hadi likuletee madhara makubwa. Pata matibabu mapema na linda afya yako ya uzazi 💯 🌿 ABDUHEALTHCARE tunakusaidia kwa ushauri na huduma bora za afya kwa kutumia njia salama. 📍 Tunapatikana Tanzania nzima 🚚 Huduma inakufikia popote ulipo 📞 Piga/WhatsApp: 0772 250 824 📲 TikTok | Instagram | Facebook: @abduhealthcare #PID #AfyaYaUzazi #ABDUHEALTHCARE #Wanawake #creatorsearchinsights