@gastmedia: Ushauri kwa Wanaonza Biashara ya Spea za Pikipiki Kama unafungua duka la spea mtaani kwako, hakikisha umeweka garrage ya kishikaji pembeni – biashara itakua haraka sana! Na ukiwa unataka kununua spea za jumla, ni VIZURI ukaenda mwenyewe kwenye duka la jumla. Au kama una watu unaowaamini wanauza spea hizo, ni sawa kabisa AGIZA Kwa wale wa mikoani, hii ndiyo njia bora ya kupata bidhaa safi na bei halisi. Kwa wale wa Dar es Salaam, chukua daladala hata ya 5,000 TSH, nenda mwenyewe Kariakoo, utanishukuru baadae

GAST MEDIA TZ
GAST MEDIA TZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 March 2026 18:27:05 GMT
18811
247
4
39

Music

Download

Comments

mzururaji0
mzururaji0 :
Acha kutumia chatgpt
2026-03-16 16:55:40
1
hafswatially
Hafswati Ally :
Samahani nomba unipe na ya biashara ya juice bar mtaji wa milioni moja
2026-04-29 07:50:10
0
speratusaudax1
speratusaudax :
naomba ya king lion150
2026-03-16 17:31:15
1
To see more videos from user @gastmedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About