Mungu asimame nawewe kwenye kila Jambo unaloomba na kufanya 2026 unayesoma comment hii 🙏☺️
2026-03-14 19:07:17
3538
edeni1 :
Ee Mungu baba mwenyezi tazama ni usiku mwingine Tena, tunakuja mbele zako kwa unyenyekevu mkuu, tukishukuru kwa mema yote uliyotujalia katika majukumu yetu ya kila siku, tunaomba Baba utulinde usiku huu hata tunapoenda kulala , tulale salama na kuamka salama amen 🙏
2026-03-14 19:31:25
1306
tourist's life :
IST unaanza kuiita ndinga😁😁😁😁 kama umeikubali gonga like hapa
2026-03-14 19:51:00
1241
king_joky :
Kama umeangalia hii video asubuhi tujuane hapa😍
2026-03-15 06:13:32
590
dogo deer✨ :
natafuta rafiki chizi chizi tucheke bila sababu😂😂
2026-03-14 19:07:10
424
Fráñçìs💖! :
bigii ana cheka vizuri😁
2026-03-14 19:22:12
293
August_ bby♌️🦁⭐️💛🖤😂 :
Ila cheka ya Bigiii😂😂😂🙌
2026-03-14 19:42:15
229
budah 1️⃣8️⃣ :
40/40 nalipa
2026-03-14 22:37:56
6
💀𝕶𝖎𝖓𝖌 𝕰𝕵 𝕻𝖍𝖆𝖓𝖙𝖔𝖒 :
tunaoangalia jumapili saa sita usiku tujuane hapa😃😃
2026-03-15 21:07:23
108
mirzoner.sk :
tunao angalia asubuhi tujuane😂
2026-03-15 03:34:00
311
Kenyanson :
Mimi nipo mwenyewe nyumban jamani.. watu wananiona mwehu maana nacheka mwenyewe.. Loui please leave me alone🤣🤣🤣
2026-04-20 22:33:29
13
Mr Martin :
100/100 😁😁😁😁
2026-03-14 21:18:04
14
ZUMA :
10/10 tuondoke
2026-03-14 20:25:26
14
Chuga BreAm4tInG🤍💫 :
40 Nalipa
2026-03-14 22:00:05
13
Seykidd 11 :
kama umeangalia video hii usiku gonga like hapa
2026-04-14 19:05:59
5
ELLY34 :
Karume day tuko hapa😅
2026-04-07 05:53:41
5
duchu🪡🧸🥷 :
tunaoingalia asubh ya j pili 👍
2026-03-15 07:55:12
37
Andrew Mwegoha 🌍 :
😂😅 wametisha sana . ila naomba mnisapoti kwa kugonga like .
2026-03-31 12:21:43
5
🦋mrs Emma❣️❣️❣️ :
tunaoangalia saa 8 usiku tujuane nawapenda
2026-03-15 23:11:44
49
Dripflex :
tunaoangalia saa saba tujuane hapa
2026-03-15 22:08:12
31
Galaxy@7 :
10/10 Anzen nalipa chapu
2026-03-15 10:21:13
18
@HammyUnicycle🇹🇿 :
10/10 twenzetu
2026-03-15 16:28:11
5
Sells Silayo :
ni Siku ya 21 bila nyeto Asante Ramadhan 🙏
2026-03-14 22:34:22
394
NGOSHA MAARIFA 👁 :
Wanangu wa morogoro msamvu tukutane kwenye like😂💪
2026-03-14 20:36:07
156
rich house of creativity :
wanaomsapot bigii gonga like hapa
2026-03-22 05:40:51
6
To see more videos from user @chugabigii, please go to the Tikwm
homepage.