:Tangia nianze kucoment sipatagi like cjui kwann??
2026-03-16 08:10:51
159
DURUMA BOY :
kiukweli mm nilipata mke acha niseme alhamdhulillah mungu amuzidishie umri mrefu inshaAllah mtoto yeyote anamchukulia km wakwake🤲🤲🤲🤲
2026-03-16 12:10:58
137
Suwaiba :
sio wote mbona mm nalea kama wanangu
2026-03-15 18:24:03
82
Naa❤️ :
mungu nipe moyo WA kuwapenda watoto wa mume wangu 🥹🥹
2026-03-15 15:57:00
52
Coast 2 Coast Vibes :
Wanawake wana roho mbaya sana hawa ndio wanavunja familia nyingi sana
2026-03-15 15:06:58
73
Zawad Muidin :
Alhamdulillah mie namshukuru mungu nawapenda sana wanangu wakambo yani mtaani kwangu hakuna anaeyejua kama siowakwangu nawapenda sana nawao wananipenda mnooo baba yao ananipenda sana akiona jinsi ninavyoishi nawatoto wake yani niamanitu
2026-03-16 17:35:53
19
Zulfa Mhagama :
wanawake noma sana siwapendi angawa mimi ni mwanamke
2026-03-15 13:13:53
44
bless Toto :
Mungu asante kwa ajili ya watoto wangu wa kambo nawapenda niliwakuta wadogo mmoja ssa yupo azania na mwingine darasa 4 ila mmi mwanangu bdo anasoma chekechea nawapenda sana na juzi ilikuw HBD yangu mwanangu mkubwa aliniletea zawadi ya raba nililia sana akasema mma nakupenda sana ♥️♥️♥️
2026-03-16 08:19:30
17
debrahjohn :
daah mungu axaidie maan adi chozi limenitoka
2026-03-16 08:00:07
17
rashid yunus :
kweli shk upo sahihi, 🙏💯
2026-03-15 07:24:44
28
salhag :
mungu niepushe na hii roho jaman
2026-03-15 15:19:37
20
lizzy bae :
mimi dada yangu tu hampendi mwanangu sembuse mtoto wa mke mwenza inauma sana
2026-03-18 16:37:19
9
lizzy lubango 🥰 :
nitawapenda watto wa mme wangu kama nimewazaa mm
2026-04-06 10:58:13
5
Janet charo 141 :
😭😭😭😭 inaniuma
2026-03-15 15:33:39
9
Kassim Kimoby :
wanawake ni wabinfsi saana
2026-03-16 23:16:05
5
Aginesi mussa :
Baadhi ya wanawake wana roho mbaya sana, Mungu atusaidie.
2026-03-17 10:19:38
5
user46169675300936 :
yaarabii natamani nimpate mume kamahuyo mwenyewatoto hakika nitawapenda sana kama wakwangu najua kwaupendo huo mapenzi yatazidi piya kwamumewangu
2026-03-16 15:09:00
8
bint mfyomi :
subhanallah
2026-03-15 14:57:29
8
shaibu :
inauma sanaaaa
2026-03-15 12:17:22
12
Jamillah :
subhanah allah
2026-03-15 15:02:33
6
Nadhira Na :
mungu niepushe na iyo roho daah 😭
2026-03-15 13:00:10
16
preety mam♥️ :
mungu nipe moyo wakuangalia watoto wa kambo wangu
2026-03-15 14:52:32
16
tynea🥰 :
namshukuru mungu mama angu mkubwa alinilea vyema mungu azid kumpa maisha marefu🙏
2026-03-17 02:14:57
6
TOTO :
mungu anipe umbrii nilee wanangu
2026-03-15 15:07:18
9
🌟 :
Mungo atulinde sana wanaume
2026-03-15 14:01:10
10
To see more videos from user @mr_othman_tz, please go to the Tikwm
homepage.