@bible_coach_tz: The Sonship of Jesus Christ #tiktokkenya #gospel #viral #trending #tiktoktanzania🇹🇿

Bible talk Official
Bible talk Official
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 15 March 2026 16:15:08 GMT
58743
3638
365
280

Music

Download

Comments

monten_1
monten✅ :
Yesu ni mungu kamili amini na yeye ndiye mkombozi
2026-03-17 07:39:57
45
wi16lly61
willy :
𝘼𝙈𝙄𝙉𝘼, 𝙔𝙀𝙎𝙐 𝙆𝙍𝙄𝙎𝙏𝙊 𝙉𝙄 𝘽𝙒𝘼𝙉𝘼 𝙉𝘼 𝙈𝙐𝙉𝙂𝙐 𝙈𝙒𝙀𝙉𝙔𝙀 𝙉𝙂𝙐𝙑𝙐, 𝙃𝘼𝙇𝙇𝙀𝙇𝙐𝙅𝘼𝙃.
2026-03-16 09:00:45
75
imanisaidi300
Imani Saidi :
mungu Hana kivuli Cha kugeuka geuka mara Leo mtu kesho mungu
2026-03-16 05:05:34
5
legacy_7530
nizbert_legacy :
yesu sio Mungu yesu ni mwana wa Mungu
2026-03-17 06:47:16
8
chamzimu_arts
Chamzimu_Arts :
Yesu anasemaje yeye kwenye Yohana 14:28 …Kumbukeni nilivyowaambia, ‘Ninakwenda, na nitarudi.’ Kama kweli mngalinipenda mngefurahi, kwa kuwa nakwenda kwa Baba; na Baba yangu ni mkuu kuliko mimi.
2026-04-19 20:55:48
6
rachelngailo620
Rachel_Ngailo :
ubarikiwe kwa ufafanuzi mzuri.
2026-03-16 11:59:52
6
marko.z45
Marko Z :
amen
2026-06-07 11:11:27
1
user459070032056
user459070032056 :
amazing thank you
2026-03-15 17:43:02
5
riseupjey
Riseup Jey :
sana mn ang mung akuzidishie uelewa kazi nzur San
2026-04-17 10:22:32
3
musa.brown
Musa brown :
ila hapo kwa mungu mwana umwkosea...ni mwana wa mungu
2026-03-16 16:25:53
7
samweli922
samweli :
barikiwa. watu wengi wangelijua hilo ingekuwa vizuli sana!
2026-06-04 18:11:55
1
isharamapatano
isharamapatano :
mzee elimu unayo baba
2026-04-05 05:51:17
3
kgdesolver7
Kgdesolver :
Umefundisha vizuri kwa kueleweka. Mungu akubariki
2026-03-17 20:45:11
6
kinagaubaga2
KINAGAUBAGA :
so sad
2026-05-04 21:33:16
1
francisco.ph666
Francisco ph :
umefafanua vizr sana mungu akubariki sana,bilashaka wote wameelewa kama mm🙌🙌🙌🙌🙌
2026-03-16 07:08:18
9
reginaregina6908
rejina :
Bwana Yesu Asifiwe Sana
2026-03-20 05:19:31
3
imanisaidi300
Imani Saidi :
mungu hajawahi kuishi na watu duniani yesu tumeishanae duniani
2026-03-16 05:07:02
1
samweli922
samweli :
amina
2026-06-04 18:12:27
1
barakanail3
baraka :
mungu atusadie tu
2026-04-14 15:28:20
2
tycoon.manager
TYCOON 🔥 MANAGER 🌍 :
AMINA SANA🔥🔥🔥 BARIKIWA PIA❤️❤️❤️
2026-05-02 07:27:05
2
tz8098
TZ🇹🇿 :
JESUS IS KING 👑🙏🙏
2026-04-06 16:16:54
1
apostlebenjamin100
APOSTLE BENJAMIN 🫅 :
ubarikiwe
2026-03-26 11:50:49
2
malikimoh10
Malikimoh10! :
kwahyo yesu ni mungu
2026-03-16 05:41:00
3
user4323036628082
past kaluma :
ubarikiwe kwa kuinjilisha
2026-03-17 09:44:41
2
nguwa16
Nguwa :
Amen
2026-03-17 12:13:00
2
To see more videos from user @bible_coach_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About