nimekumbuka mbali sana babu yangu ndio alikuwa ananiambia jamaniiiii
2026-03-16 12:45:10
125
Mr never told :
imenifurahisha sana weka like kama ume enjoy na wew
2026-04-29 07:07:44
57
mama Shantel :
100/100
2026-04-29 12:34:56
6
Richard Mfugale :
nimekumbuka mbali sana.
2026-03-16 11:11:29
66
Prince 5432 :
20/20now
2026-03-30 21:31:19
7
Emmanuely, :
nimecheka sana
2026-03-16 09:33:57
31
Roy🍓🍓 :
umenivunja mbavu jamanii🥰🥰
2026-03-16 17:50:17
19
BURACK🐴 :
michezo iyo alikua nayo baba amgu mungu ampe maisha marefu sana
2026-05-09 17:56:16
11
Fausta Sanga :
nimecheka
2026-03-18 17:38:50
5
Saidocoment 17 :
sahih kk
2026-03-17 08:47:43
5
Shedrack JM official@ :
Dah mungu anakuona😃😃😃😃
2026-03-17 16:02:19
5
user3510381827926 :
hadi nimecheka kwa sauti😂😂😂😂
2026-03-16 20:57:14
8
annanyanda17 :
hata mm mamayangu alisema hivyo
2026-03-18 09:54:46
21
Aphlah Willfred :
uwiiiiii
2026-03-16 14:20:41
7
Ruth Fransis :
jamani nani anakumbuka hayo haha like kama unakumbuka ulipo toka
2026-04-17 11:58:31
14
queen of the love :
kamatukopamoja gonga like
2026-03-16 22:36:42
39
Maria Gidri :
Sina chakujibu nimebaki nacheka
2026-03-16 14:55:53
14
MRS schola :
yaani mimi ndo nilisha danganywa aswa ila nilikuwa nalia namwambia jamani mama nipetuu nitengeneze njiya mwenyewe🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰leo ndo nimegunduwa kuwa alikuwa ana nitapeli
2026-04-28 18:23:41
8
jamraty :
kweli nimecheka
2026-03-18 16:59:46
8
Plux :
umetishaaa sanasana
2026-03-16 09:28:34
12
Jamila Masanja :
marehemu baba yngu ndyo ilikuwa kazi yke mungu mrehem
2026-03-16 22:30:33
38
To see more videos from user @dogolaadamclassic, please go to the Tikwm
homepage.