@beya.na.watoto: #usa #france🇫🇷 #canada #tanzaniantiktok🇹🇿 #congo

dr beya na watoto
dr beya na watoto
Open In TikTok:
Region: ZA
Monday 16 March 2026 02:35:01 GMT
794452
25384
2309
254

Music

Download

Comments

naimakigoda
naimakigoda :
ewe mwenyezi mungu nakuomba umponye mtt huyu
2026-03-16 05:14:31
1454
user1950608558245
Apple :
hata mm nimejifungua ivo lkn sasaiv Alhamdulillah yupo vizr kuna sehem nilikua nampeleka
2026-03-16 09:44:56
210
user9222581419731
ommy fashion designer :
yarabi mponye mtoto huyu na umpe afya njema ya viungo vya mwiliwake 🙏
2026-03-16 07:49:50
334
aminaiddy22
meena19 :
Allah amponye..mm nilimzaa mwanangu upande amepooza 😭😭😭
2026-03-16 09:17:28
214
user4068886804537
Dorcass :
ee mungu naomb yale niliyokuomba uyaweke kando kwanza umtende huyu mtoto apone baba
2026-03-16 09:19:32
99
aminagwando
Amina Gwando :
Anapona zingatia mazoezi mpeleke akachuliwe wangu yupo vizuri Alhamdulilah ila nilijua kulia mm jamani kiguu na njia kila siku
2026-03-21 18:55:56
13
user30573130508526
Tully :
Maskini alafu ana afya nzuri tu Inshallah Mwenyezi Mungu atatenda miujiza yake
2026-03-16 08:05:03
43
mrs.b0408
Mrs B🥰🥰 :
😭😭😭😭 yan huo mkon km mwangu alivyo kua jmn inauma san ten san mungu akupenye mtot mzur
2026-03-17 10:51:31
21
user3530124863121
user3530124863121 :
Eeh Mungu tunajua sisi ni wakosefu kwako ila tunaomba miujiza yako kwa uyu mtoto aweze kuwa sawa🙏. Najihis maumivu makal kwa ajil ya uyu mtoto
2026-03-28 19:12:01
5
richardpaschale
Chard boy :
ee Mola nakuomba umpe uponyaji wako mdogo Wang huyu. Amen 🙏🙏
2026-06-05 21:59:14
5
23_smilee
💫naleem mom🦋🧸❤️‍🩹💙 :
Yarabbi ndani ya Laylatkadri hii muone kiumbe yako mponye hilo na mengine mpe shifaa yako Ameen ya rabbialameen
2026-03-16 16:59:17
11
oficcialfunga
🎲FUNGÀ BOY🔞🔜🇹🇿🇺🇸 :
mungu anyooshe mkono wa uponyaji juu yake😔😔
2026-03-16 20:19:58
5
demuheza
Esther2023 :
MUNGU naomba mponye uyo maraika wako 😭😭😭najua uliandika ukiomba unapewa,ukibisha hod unafunguliwa, MUNGU naomba shuulika nauyu maraika wako Amen
2026-03-16 08:02:12
12
user4680837953467
user4680837953467 :
Kwa Jina la Yesu pokea Uponyaji mtoto mzuri.
2026-03-16 10:25:07
14
jprincessmom
mom D🦋 :
ewe mungu fanya kwanza kwa uyu mtoto🙏🙏😭
2026-03-16 10:21:45
6
officiallyanjel7
Anjela 🔐 :
Husababishwaaa na Nn jamaniii mm Pia na mtoto yuko hivyo 🥺🥺
2026-03-18 11:34:46
5
babymir46
🌺Aiem miry🌺🌺 :
mungu ww ndy muweza wa yote mbaliki mtot huy afy na uzima wa mwili wake
2026-03-22 14:03:22
7
lizzymtaki
ma nado official 🌹 :
mwenyezi mungu mfanyie wepesi huyu mtoto
2026-03-16 11:05:28
6
sweetfandy
venoparis :
Aisee watt ni MUNGU tu mm wangu alizaliwa hajalia na alilala siku mbili ila now ana miaka 12 MUNGU MWEMA
2026-03-16 16:04:40
8
ukhtysaly
ukhtysaly :
solly mung amfanyie wepes kwakwel
2026-08-29 12:49:16
0
adijamwagomba
Adija Mwagomba :
Shifaaa Yarraby 🤲🙏
2026-08-20 08:21:33
1
loveness.love709
Loveness love😘 :
Pole sana
2026-06-04 08:58:44
2
edina70003
Cute@edina💘🦋💞 :
pole sana mtoto mzur mungu akuponye
2026-10-01 14:24:16
1
zai41876
zai :
daaaa. mtihani wallahi polesana dada Allah akupe moyo wasubira kuweza kumsmamia vyema mtoto inshallah
2026-08-18 14:12:49
2
zahara.nguzo
Zahara Nguzo :
Tumuombee kwa mungu amfanyie wepesi inshaallah
2026-06-05 22:01:44
3
To see more videos from user @beya.na.watoto, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About