@najimvitambaatz: Mwenyezi Mungu, Tunakushukuru kwa kuwa Wewe ni mlinzi na mwokozi Wetu. Tunakuomba utulinde Sisi & familia Zetu, na kila kilichounganishwa nasisi kwa mikono yako yenye nguvu. Tuokoe kutoka kwa watu waovu na wabaya, na ubatilishe kila mpango uliopangwa dhidi yetu. Tupe hekima ya kuwa wangalifu kwa watu waliotuzunguka. Ninaamini utaharibu kila hila na uovu uliopangwa kinyume na Sisi. Amen 🙏 🙏 🙏 🙏

najimvitambaatz
najimvitambaatz
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 16 March 2026 05:52:54 GMT
2289
67
6
0

Music

Download

Comments

user1955237234244
Adamu mohamed :
ap umenena kak
2026-04-23 13:42:09
0
lovenesssimon279
Loveness Simon :
nice
2026-03-18 07:48:33
0
ayubu.elias
🦁 ~𝐌𝐀𝐒𝐓𝐄𝐑~☆~𝐒𝐃𝐀 ~🎒 :
🔥🔥🔥
2026-03-16 15:18:21
0
anderson87papaa
PAPAA UNDERSON 💫 JR💫 :
🙏🙏🙏
2026-03-16 09:06:19
0
drew_0828
Drew 🖤♥️ :
🔥🔥🔥
2026-03-16 06:08:12
0
lovenesssimon279
Loveness Simon :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-03-18 07:48:37
0
To see more videos from user @najimvitambaatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About